Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

Majibu ya serikali yatakuwa ni kuzuia money laundering labda,kama hata mpesa nayo imewekewa vigingi kwa sababu hiyo hiyo basi ujue kuwa hii money laundering inatafsiriwa vibaya na wenye mamlaka,kingine ni kutaka kila senti inayokaribia kuingia mfukoni mwa mtanzania ifyekwe kodi kwanza,yaani serikali hii kwa sasa imejipa kipaumbele kuliko raia wake,haijali taabu anazopitia raia wake,wanatamani hata omba omba nao walipe 18% ya kile walichoomba,bureau de change zimefungwa,ajira kibao zimepotea ila hilo haliitingishi serikali ya awamu ya tano,eanachojali wao ni kukeapia chochote kinachoweza ku kwapulika, bora basi ingetugawia mitaji ili tuwe vibarua wao mwisho wa siku tugawane mapato,hata kwenye nchi zinazoongoza kwa ukusanyaji mapato huwa kuna nyanja nyingine huwa wanapotezea kudai kodi.
Mimi Sijui Kenya hapo inaruhusiwa hayo majibu wanayo wenyewe.Kama yupo anayejua kwa Nini Tanzania hawaruhusu kupokea pesa kwa PayPal atuwekee sababu humu.Mimi.nimeeleza upande wangu ninaoujua
 
Wewe unataka ufanye biashara bila kampuni au? Ndo biashara gani sasa iyo
Unaishi dunia ya kwako peke yako hujui kinachoendelea Duniani.Yaani uelewa wako mdogo Hadi unatisha

Hivi kwa argument Kama hii huwezi jipima mwenyewe kuwa uwezo wako wa kufikiri uko chini? Kufanya biashara unahitaji lazima kuwa na kampuni?

Machinga Wana kampuni,mama nitilie Wana kampuni? Wauza vitumbua na maandazi Wana kampuni?

Aisee halafu ukute mtu Kama wewe uko serikalini.Ni mzigo mzito kwa serikali sio Siri.
 
Usisingizie wazee mkuu.Vijana wengi sana serikalini na kiasi fulani bungeni.

Nikihesabu vijana walio na nafasi ya kutoa maoni yao yakasikilizwa ni wengi.Au una maana gani kusema wazee?
Hao vijana ndio dizaini za Makonda,Ali hapi,Ole Sabai sio?
 
YEHODAYA,
Umetema madini sana kwa afrika wenzetu Nigeria,South Africa na Kenya kwenye manunuzi mtandaoni wako mbali kuliko sisi.
Mpaka kufikia 2025 zaidi ya waafrika 50% watakua na uwezo wakupata huduma ya mtandao hii ina maanisha zaidi ya waafrika 1 billioni wataweza kupata huduma ya mtandao bila tatizo lolote,kwahiyo kutakua na fursa kubwa zaidi na soko la kuuza bidhaa mbalimbali,serikali zetu zinatakiwa kupunguza vikwazo na kodi ili kutupa vijana fursa ya kupenya na kutengeneza ajira nyingi za kutosha asante.
 
mkuu mbna payments online hazina shida: kufungua account ya paypal sio lazima serikali, tatizo lilopo ni direct transaction kwenye mabenki tu lakini kwa sisi tunaofanya kazi online paypal inafanya vizuri tu, then from paypal unaweza tuma direct kwenye account yako:
 
Mtoa mada hebu eleza kwanini benki ya tanzania haijaruhusu mfumo wa kupokea pesa kwa njia ya PayPal ... ili hoja yako isiwe ya upande mmoja[emoji102]

unatumia benki gan sir, maaana mm natuma direct from paypal to my account
 
mkuu mbna payments online hazina shida: kufungua account ya paypal sio lazima serikali, tatizo lilopo ni direct transaction kwenye mabenki tu lakini kwa sisi tunaofanya kazi online paypal inafanya vizuri tu, then from paypal unaweza tuma direct kwenye account yako:
kivipi mkuu
 
Kuna huyu mtu alilalamika kuhusu PayPal kutofanya kazi Tanzania msome akijieleza


In 2014 I planned to visit Mikumi National Park; an absolutely beautiful wildlife conservation. To achieve that I prepared for fundraising, by offering (Swahili - English) translation services on Elance, and also selling handmade traditional ornaments on eBay. I knew that a PayPal account was necessary, good thing I already had an account which I entirely used for purchases. But it didn’t take long to realize that a Tanzanian PayPal account can only send but cannot receive money!

So, I decided to contact PayPal desperately hoping to get some help, even if it meant paying extra fees, I was willing to. It has been almost 3 years ever since I started requesting but PayPal has not yet granted the solution. They won’t disclose why Tanzanian PayPal accounts won’t receive money but kept on suggesting that I should ask buyers to use alternative payment methods like money orders, checks, bank wires transfers, etc. Honestly, that's easier said than done because popular sites like eBay prefer PayPal EXCLUSIVELY and impose restrictions from using the alternative payment methods. The moment seller suggests alternative payment methods; s/he is automatically infringing site’s rules despite the fact that such a suggestion is itself a deal breaker for most buyers and employers on freelancing sites.

I bet PayPal realizes that Tanzanian dwellers cannot sell any goods on popular shopping site like Amazon or eBay; thousands of unemployed graduates and experts cannot freelance on popular freelancing sites like Upwork, Elance, etc; domestic charity organizations cannot launch international campaigns to let millions of Diasporas and foreigners donate to a passionate course or aid. This is a lot of day-to-day missed opportunity that any person living in Tanzania is locked out of access. When will residents of Tanzania be allowed to earn online?

It is well known that Swahili is Tanzania’s native language. The majority of Tanzanians can translate English to Swahili and the vice versa in a heartbeat. These are the people who are qualified to do online translations. Tanzania has a lot of rare precious resources (like Tanzanite) that you won’t find anywhere else in the world, and Tanzanians have traditional industries that are ready to sell to the whole world. Many entrepreneurs lack seed capital for piloting their ideas. If entrepreneurs are given a chance to earn online they will surely work, save and bootstrap their startups. Sadly we have little to no access to the above opportunities because the world’s gigantic online payment processor i.e. PayPal won’t let us get paid.

If such economic barriers aren’t upheld then it must be difficult for organizations or campaigns that are trying to convince youth not to leave their countries for abroad, because nobody will want to stay in his/her country if jobs are hard to find. I believe PayPal has a role to play here by unlocking all its features hence creating job opportunities for residents of Tanzania.

Tanzania has 50+ banks, 4 major mobile money services (M-Pesa included) which can act as PayPal funds withdrawal agents if Tanzanian PayPal accounts are authorized to receive money.
 
Serikali inatunga sheria ya kuwapima ukimwi kilazima
 
Bidhaa za kuuza siyo hizo za kilimo tu Mitandaoni pia waweza uza bidhaa ukapata pesa nyingi kuliko hata kilimo.Mitandao pia Ni shamba
Kwakweli naona kwa baadae kama kijana ukikomaa vyema na mtandao unawezafika mbali sana ukiwa na;
Mtaji[Money]
Mfumo bora wa malipo[Payment System]
Mfumo wa usafirishaji [Logistics system]
Mtandao wa uhakika[Internet]
Japo siku zote mwanzo ni mgumu ila polepole kuna mabadiliko yatatokea jambo la msingi ni kuto kata tamaa kabisa.
 
mkuu mbna payments online hazina shida: kufungua account ya paypal sio lazima serikali, tatizo lilopo ni direct transaction kwenye mabenki tu lakini kwa sisi tunaofanya kazi online paypal inafanya vizuri tu, then from paypal unaweza tuma direct kwenye account yako:
Lini PayPal Tanzania zimeanza kupokea Pesa?!
 
Ila kama alivyosema notifeki hapo juu, tusisubirie majibu ya serikali ku-exploit opportunities za mitandaoni manake tutasubiri sana!!! Uzuri wa PayPal ni kwamba inaaminiwa kwenye mitandao mbalimbali duniani, na watu wengi duniani wana paypal accounts. Uzuri mwingine, ndiyo payment processor isiyo na kona kona kwenye issues za e-commerce lakini haimaanishi kwamba ndiyo payment processor pekee inayoweza kuwafanya watu wafanye kazi za online.
 
Unaishi dunia ya kwako peke yako hujui kinachoendelea Duniani.Yaani uelewa wako mdogo Hadi unatisha

Hivi kwa argument Kama hii huwezi jipima mwenyewe kuwa uwezo wako wa kufikiri uko chini? Kufanya biashara unahitaji lazima kuwa na kampuni?

Machinga Wana kampuni,mama nitilie Wana kampuni? Wauza vitumbua na maandazi Wana kampuni?

Aisee halafu ukute mtu Kama wewe uko serikalini.Ni mzigo mzito kwa serikali sio Siri.
Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom