PostGE2025 Kura 98% za Samia sawa na Watanganyika 32,000,000 waliompigia kura, zageuka shubiri wanamuombea kifo...!!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana...

Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!!

Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk kile wanachokiita uchaguzi wa 29/10 na ghafla hata mwezi haujaisha haohao mamilioni waliomchagua wanatokea kumchukia na kumdesi kiasi hiki hata kumwombea kifo, afe hata leo🤔🤔⁉

Tuliambiwa kuwa kulikuwa na wapiga kura (registered) 34,000,000+ (lakini ni uongo) na kati ya hawa, wapiga kura karibu 33,000,000 (uongo mwingine) wakajitokeza kupiga kura na 32,000,000 (uongo mwingine mkuu) wakampigia yeye na kushinda kwa 98%...!!

Swali kuu linakuwa, iweje hawa watu 32M+ "waliompenda sana" huyu mama na kumpigia kura, ghafla wamemgeuka, wakamchukia na kumtema mate chini kiasi cha kumwombea afe hata sasa hivi ili watu washeherekee...??

Ofcoz, nimemwona leo kupitia TV kwenye msiba wa Jenista Mhagama (mhanga mwingine wa roho yake ya uuaji). NI kweli, bado anapumua na kutembea. Hongereni madaktari wa Zahanati ya Mzena kumwezesha kusimama leo na kutembea. But it's NOT OVER YET..!

Alikuwa amekaa katikati ya Spika Azzan Zungu na Spika mstaafu Anna Makinda. Mbele yake kulikuwa na row ya masista wa Kikatoliki.....

Psychologically, alikuwa anaonekana kuchabo tukio zima kimachale chale hivi. Alikuwa na mwonekano wa kuweweseka weweseka hivi. Alionekana ni Mwanamke mwenye mashaka, hofu na asiyejiamini kabisa....

Sijui kama ana muda mrefu huyu. We're eagerly waiting that moment to come. But God can forbid it if only................................

Mimi binafsi The Palm Beach nisingependa kumuona anakufa. Napenda kumuona anaishi kwa mustarehe zake huko Kizimkazi. But is this her choice? No..! It seems not at least for now. May be after today, things may turn otherwise....

Ili aishi, basi ana bonus ya muda mchache sana kwa masharti madogo tu haya:
👉🏻👉🏻👉🏻AACHE JEURI, KIBURI NA DHARAU KWA WANANCHI
👉🏻👉🏻👉🏻AKUBALI KUBEBA LAWAMA NA KUWAJIBIKA KWA MAUAJI ALIYOYAFANYA KABLA, WAKATI NA BAADA YA ALICHOKIITA UCHAGUZI
👉🏻👉🏻👉🏻AACHIE NGAZI KWA HIARI YAKE MWENYEWE.
👉🏻👉🏻👉🏻HIZO 👆🏻NDIZO HATUA ZA TOBA. AKIKAMILISHA HAYO, SASA ATAMKE KWA KINYWA CHAKE KUWA Mungu nirehemu mimi Samia, nimekosa juu ya mbingu na nchi. Nipe neema ya kuishi tena..

##AKIFANYA, Mungu Jehovah ni mwenye huruma na neema nyingi. Atamsamehe na atamrejeshea FURAHA na AMANI yake...

##Na atashangaa sana kuwa Watanganyika hawatakuwa na neno wala chuki naye tena, maana Mungu ataiondoa roho hiyo

##La, akikataa kujinyenyekeza na kutii, HAKIKA ATAKUFA. Atapita njia ileile ya aliyemrithi kiti hicho, John P. Magufuli. Asema Bwana wa Majeshi, Yesu KRISTO. Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻

Bwana Mungu wa Majeshi asema hivi. Soma👇🏻👇🏻

Isaya 55:7, 9 SUV
"....Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu, Asema BWANA Mungu wa Majeshi.."

2 Mambo ya Nyakati 7:14 SUV
"....Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao..."​

Bi Samia, najua hili ni gumu kwako kwa sababu ya status na imani yako ya dini ya kiislamu. Lakini jishushe tu, nyenyekea tu. Acha yote ya dunia hii. Madaraka, pesa na heshima toka kwa wanadamu ni ya muda mfupi sana na ni ya hapahapa duniani lakini roho yako ni ya thamani sana mbele ya Mungu. Jiponye wewe na nafsi yako....

Muda bado unao mama yangu, lakini ni mfupi sana. Ni bonus tu Mungu kakuachia. Tumia hekima na busara kidogo ambayo umebaki nayo kwa kufanya maamuzi sahihi. Jiachie mbele ya Bwana Yesu Kristo. Jiponye roho na nafsi yako. Sema maneno haya mafupi tu. NAKUJA KWAKO BWANA YESU KRISTO, NIOKOE NA UNIPONYE ROHO NA NAFSI YANGU. NIPE FURAHA NA AMANI YAKO. Ukitamka maneno haya toka ndani ya moyo wako, baaasi, yatosha, NA HAKIKA UTAOKOKA, Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻...!!
 
Binafsi naamini mwisho wa samuya hauko mbali sana, naamini kabisa 100% hata 2027 hafiki.

Huyu bibi wa kizanzibari pona pona yake itakuwa ni kukimbilia huamishoni kama walivyofanya madikteta wenzake akina Idd amin na Mobutu.

Tutakuwa na raisi wa mapito ambaye ndio atasimamia sherehe za ufunguzi wa AFCON 2027.

Save this comment.
 
Siku Akifa Tanzania itakuwa salama Sana, maana unaua watu na unawaacha watoto wakiwa mayatima na hutaki wajue makaburi ya wazazi wao...na bado anawaibia watanzania kwa kichaka cha Usalama wa Taifa Kila mwezi Bilioni 15 zinatoka Benki Kuua zinapelekwa Usalama wa Taifa eti kazi maalumu kumbe wanaifisadi nchi...safari hii itakuwa Bilioni 30 kabisa
 
Back
Top Bottom