Wapigakura wa Mbowe hawana smartphone?Kura zikipigwa mtandaoni Lissu lazima ashinde. Ila zile nje ya mtandao inakuwa kinyume chake. Kisiasa Lissu ni mdogo kuliko Abdul Nondo
CHADEMA haiamini katika Social media?kura za CCM, chadema hakuna anyeweza kuja hapa kupiga kura
CCM inampenda Lissu kuliko Mbowe?kura za CCM, chadema hakuna anyeweza kuja hapa kupiga kura
Mamluki ya ccm yanatufauta wapi palipooza.CCM inampenda Lissu kuliko Mbowe?
1. Lissu kapigwa risasi na nani?
2. Lissu kapokonywa ubunge na nani?
3. Lissu kanyimwa pesa za matibabu na nani?
Je, ni kweli kura zote hizi ni za CCM na kwa faida gani?
Atachoka pesa ...aliwahi kusemaxyeye na pesa ni kama chup^ na tako...Mbowe Yeye hachoki?
Kazi ipo aiseView attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA

Tanzania ni yetu sote!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.
Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Mimi ni non partisan...ila kuweka wazi Mbowe amevumilia sana na maCCM kutekwa kumia kifedha , au na vishawishi vingi ila asante Sana ...ila kwa SASA tujalibu damu mpya.Pigakura moja tu,
Kwanza, Gusa jina la Unayedhani anafaa kuiongoza CHADEMA kwa Sasa,
Pili, Bonyeza sehemu imeandikwa "Cast Vote"
Mwisho unaweza kuacha ujumbe wa kikampeni kwa wachangiaji wanafuata.
Hao wandani hawana smartphone?Swala la uongozi waCDM si swala lakuendeshwa kwa hisia za Nje kwa sababu zifuatazo..
1.Kiongozi anaytakiwa kwa sasa ni yule atakaye weza kumuda, Propaga na mipango ya kigaidi wanayofanyiwa CDM. Mbowe ameshindwa kuwalinda wana CDM kwahiyo wanaparuriwa kama kipanga anavyo parula kuku.
2.Anatakiwa kiongozi atakaye weza kukusanya fedha na kuweka misingi mizuri na mahesabu ya fedha za Chama.
3.Anatakiwa mtu ambaye Haingiliki kwa ushawishi wowote wa kifedha au kupewa madaraka.
4.Kiongozi ambaye yupo tayari kama alivykuwa Mbowe kuwa mstari wa mbele wa mapambano.
5.Kiongozi asiye kubali maridhiano yoyote yasiyo ya kisheria au taratibu zinazo ratibiwa kisheria.
6.Kiongozi asiyekurupuka kutoa Maamuzi,nna mahali panapo hitaji maamuzi ya busara kuonyesha busara lakini pale psnapo itaji kutoa maamuzi ya kishenzi pia awe Tayari.
7.Mbowe na Lisu hawapaswi kuwani kiti kimoja kwa waksti mmoja na ikionekana Mbowe bado anahuitaji uwenyekiti kwa busara tu amuachie na yeye sendelee ns umakamu wenyekiti.
Ni muda muafaka kukiondoa chama Mikononi mwa Wachaga na kanisa na kuwa na sura ya kitaifa Kwa kumtosa MboweView attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Tanzania ni yetu sote!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.
Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Kipigo chA Mbwa KokoView attachment 3172848

Ndio Nini?Deaf amphibian
Chura kiziwiNdio Nini?
Hii ni kura ya maoni nzuri sana na ya uhakika...View attachment 3172848

I second youMbowe yuko soft sana kwa maCCM. Right now we need confrontational politics....eye to eye politicking