KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
kura za CCM, chadema hakuna anyeweza kuja hapa kupiga kura
CCM inampenda Lissu kuliko Mbowe?

1. Lissu kapigwa risasi na nani?

2. Lissu kapokonywa ubunge na nani?

3. Lissu kanyimwa pesa za matibabu na nani?

Je, ni kweli kura zote hizi ni za CCM na kwa faida gani?
 
Mamluki ya ccm yanatufauta wapi palipooza.
 
Mbowe ndio kiongoz anaefaaa kuwa mwenyekiti hana choyo ndo maan hanganganii kugombea urais
 
View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA

Tanzania ni yetu sote!!

Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,

Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.

Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.

Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.

MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.

•••••••••••••
Kazi ipo aise
 
Pigakura moja tu,

Kwanza, Gusa jina la Unayedhani anafaa kuiongoza CHADEMA kwa Sasa,

Pili, Bonyeza sehemu imeandikwa "Cast Vote"

Mwisho unaweza kuacha ujumbe wa kikampeni kwa wachangiaji wanafuata.
Mimi ni non partisan...ila kuweka wazi Mbowe amevumilia sana na maCCM kutekwa kumia kifedha , au na vishawishi vingi ila asante Sana ...ila kwa SASA tujalibu damu mpya.
 
Swala la uongozi waCDM si swala lakuendeshwa kwa hisia za Nje kwa sababu zifuatazo..
1.Kiongozi anaytakiwa kwa sasa ni yule atakaye weza kumuda, Propaga na mipango ya kigaidi wanayofanyiwa CDM. Mbowe ameshindwa kuwalinda wana CDM kwahiyo wanaparuriwa kama kipanga anavyo parula kuku.
2.Anatakiwa kiongozi atakaye weza kukusanya fedha na kuweka misingi mizuri na mahesabu ya fedha za Chama.
3.Anatakiwa mtu ambaye Haingiliki kwa ushawishi wowote wa kifedha au kupewa madaraka.
4.Kiongozi ambaye yupo tayari kama alivykuwa Mbowe kuwa mstari wa mbele wa mapambano.
5.Kiongozi asiye kubali maridhiano yoyote yasiyo ya kisheria au taratibu zinazo ratibiwa kisheria.
6.Kiongozi asiyekurupuka kutoa Maamuzi,nna mahali panapo hitaji maamuzi ya busara kuonyesha busara lakini pale psnapo itaji kutoa maamuzi ya kishenzi pia awe Tayari.
7.Mbowe na Lisu hawapaswi kuwani kiti kimoja kwa waksti mmoja na ikionekana Mbowe bado anahuitaji uwenyekiti kwa busara tu amuachie na yeye sendelee ns umakamu wenyekiti.
Hao wandani hawana smartphone?

Vijana wa Mbowe mko wapi?
 
View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

Tanzania ni yetu sote!!

Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,

Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.

Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.

Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.

MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.

•••••••••••••
Ni muda muafaka kukiondoa chama Mikononi mwa Wachaga na kanisa na kuwa na sura ya kitaifa Kwa kumtosa Mbowe
 
Kipigo chA Mbwa Koko
 
Kwani mbowe kasema atagombea uenyekiti ?

Ova
 
Wasalaam Wakuu !
Na Uongozi wa JamiiForums , kuelekea Uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, mjadala wa nani anayefaa kukalia kiti cha Uenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA)

Mjadala huu umechukua sura mpya na kumekuwa na kambi mbili zinazopendekeza FREEMAN AIKAEL MBOWE aendelee na nafasi yake ya Uenyekiti na kambi nyingine inapendekeza TUNDU ANTIPHAS LISSU achukue nafasi hiyo ya Uenyekiti kwa lengo la kuleta mawazo mapya na muelekeo mpya wa kiutendaji ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Hivyo basi ningeuomba uongozi wa JamiiForums uweke Poll hapa ili Wanachama wake waweze kumchagua Mwenyekiti wanaemtaka.

Itapendeza kama Uongozi wa JamiiForums ungetengeneza hiyo Poll ili watu wapige kura zao japo kupata picha halisi kuelekea huu uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Nawasilisha
 
Mbona ilikuwepo tayari...sema sikumbuki title ya ule uzi ...ila nimevote kabisa 🤣
 
View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

Tanzania ni yetu sote!!

Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,

Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.

Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.

Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.

MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.

•••••••••••••
Hii ni kura ya maoni nzuri sana na ya uhakika...

Lakini ukiwapa TWAWEZA au REDET watakuja na matokeo yaliyotengenezwa magogoni...!!

Let's vote...

Nimejaribu ku - vote, nimeambiwa Kuna changamoto kwenye mfumo. Ina maana TISS wameingilia mfumo wa upigaji kura zetu...?

All in all, namheshimu Freeman Mbowe. Naheshimu mchango wake ndani ya CHADEMA na ktk siasa za mageuzi za miaka yake 30+ Tanganyika...

Lakini muda huu si wake. Imetosha, apumzike jukumu la uongozi...

I VOTE FOR TUNDU LISSU...
 
Back
Top Bottom