KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Namuunga mkono Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA. Mh Mbowe awe mshauri wa chama. Makamu Mwenyekiti awe Lema na Katibu Mkuu awe Henche

Nafasi ya sera, bunge na mawasiliano apewe Godlisten Malisa John Mrema astaafu.
 
Hakuna
 
Bila Kamanda DJ Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
 
Hakuna hata mmoja wote wanatamaa
Kwann wale wale hakuna wengine wa kuongoza hiko chama
 
Freeman Omar Bongo Ondimba Mbowe muda wako wa kukaa katika kiti cha Uongozi wa Chadema umetosha.

Acha wengine nao waongoze!!! Miaka 20 ya ulaji wa ruzuku inatosha sana.
 
Kura yangu nampa Tundu Lisu.

1-Ana malengo mbadala wa yaliyozoeleka kwa taifa.
2-Ana malengo madhubuti ya kubadirisha sheria za nchi na utendaji wa serikali akipata nafasi, kitu wananchi wengi wanatamani. Hivo, uenyekiti wa chama chake ni hatua nzuri kufikia malengo ya kitaifa.
3-Mbowe yupo too soft kwenye masuala fulani muhimu, hashtui, hana ile quality ya kuthibitisha mamlaka ya cheo chake.

Ni muhenga, arudi nyuma hatua moja tu, nafasi yake akae TAL, cas bado watafanya kazi pamoja na kushauriana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…