Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakunaView attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Happy Uhuru Day!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano Mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali,
Kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa Jamii Forum Wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Mtaishia jela SasaMbowe yuko soft sana kwa maCCM. Right now we need confrontational politics....eye to eye politicking
Chadema bado inamhitaji Mbowe kwa nyakati hizi. Wanaharakati kupewa Chama kwa nyakati hizi itawawia ngumu kufanya kazi kutokana na miongozo ya vyama vya siasa chini ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.
Wakitufunga wengi nao watafungwa na ICCMtaishia jela Sasa
Sema wewe sababu una kura moja na sio mbiliSisi tunaimani na Mbowe tu
Wewe na naniSisi tunaimani na Mbowe tu
🤣🤣 ILA WABONGOFreeman Omar Bongo Ondimba Mbowe muda wako wa kukaa katika kiti cha Uongozi wa Chadema umetosha.
Acha wengine nao waongoze!!! Miaka 20 ya ulaji wa ruzuku inatosha sana.
Hawatafungwa wengi ila huyo Kiongozi wenu na nyie mtaufyata 😄😄Wakitufunga wengi nao watafungwa na ICC
Ndiyo amesema kuwa atagombea na alishapeleka barua kwa Katibu Mkuu, na mimi namuunga mkono katika hilo na Katibu Mkuu awe John Heche.Vip bado lisu kasema atagombea umakamu kwenye press yake bro?
Tafuta mwingine unayeona anafaa lakini mjadala huu unawahusu watu wawili tu.kwani lazima wawe hao
Faida ipo kubwa kuliko kuwa chawa kama Lucas MwashambwaKwanini mtu anangangania kuwa kiongozi wa Upinzani kwa mateso yote hayo?
Au Kuna faida wanapata?
Kafanyaje?Jenster mwagama anafaa