Mke wa Hafidhi ndio nani?Mbowe apumzike kwanza kwa sasa
Hii nchi saiz inamihitaji mpinzan kama lisu ili kupambana na haya majambazi ya CCM yakiongozwa na mke wa hafidhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa Hafidhi ndio nani?Mbowe apumzike kwanza kwa sasa
Hii nchi saiz inamihitaji mpinzan kama lisu ili kupambana na haya majambazi ya CCM yakiongozwa na mke wa hafidhi
MwenyekitiPIGAKURA
Deaf amphibianMke wa Hafidhi ndio nani?
Code imekuwa ngumu zaidi.Deaf amphibian
Mkuu kwa hoja za lissu, akichaguliwa, chadema inakwenda kuwa full taasisi.Wanachadema muungeni lissu mkonoNashauri Lissu apewe rungu pengine tutapatq ladha mpya ya upinzani
DuuhMke wa Hafidhi ndio nani?
Wewe ni CCM na unataka kutuvuruga wana kindaki ndaki.Tuna imani na Mbowe.
Yes za kukusanya notiI vote for Mbowe hekaheka anaziweza.
Akistaafu hawezi kukusanya pesa tenaMbowe hekima imuongoze apumzike sasa.
Resistance to change ni sumu mbayaChadema bado inamhitaji Mbowe kwa nyakati hizi. Wanaharakati kupewa Chama kwa nyakati hizi itawawia ngumu kufanya kazi kutokana na miongozo ya vyama vya siasa chini ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.