KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Mbowe yuko vizuri katika uongozi, ni mtu flexible. Lissu anafaa kuvuta watu na kuongeza kura za uchaguzi mkuu, lakini katika chama hahitajiki sana
 
Demokrasia nchini inamuhitaji Tundu A. Lissu kwani ni yeye pekee anayeweza kuwakumbusha CCM kuwa hii nchi si mali yao.
 
Chadema bado inamhitaji Mbowe kwa nyakati hizi. Wanaharakati kupewa Chama kwa nyakati hizi itawawia ngumu kufanya kazi kutokana na miongozo ya vyama vya siasa chini ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.
Resistance to change ni sumu mbaya
 
Back
Top Bottom