Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tuna imani na MboweAsante sana kushiriki mkuu
Kwa niaba ya FALM, nimepokea ujumbe wako. Hiyo nafasi sasa iende kwa TALM.MBOWE TUNAKUHESHIMU SANA NA NAKUOMBA UTUNZE HESHIMA YAKO KWA KUTUACHIA CHAMA KWA HIARI YAKO MWENYEWE.
Mbowe anafàa sana ,sema kitu ambacho unatakiwa ukijue ni kwamba confrontation politics kwa nchi yetu haifai sababu raia ni waoga mfano wa kuku wa kienyeji .Pale kiongozi wa chama anapotekea amekamatwa basi kiongozi atateseka peke yake raia hawaoneshi mshikamano kwa kuonesha kashi kashi kama vile raia wa Kenya kuishinikiza serikali imuachie kiongozi wao badala yake watu wanakuwa keyboard worrior huku kiongozi akiteseka yeye na familia yake . Uwoga kwa wanachama kutokuwa na moja na viongozi wao kuna wafanya hata viongozi ku dance kwa step wanapofanya mapambano . Lisu ni sawa anaweza confrontation politics lakini jua ya kwamba huyu familia yake ipo ulaya yeye anachofanya ni kuchafua chafua lakini sio kwa lengo la dhati ,yeye anacho taka ni ili kupata political mileage ya watoto na mke wake waishi ulaya ukitambua ya kwamba huyu anatambulika kama mkimbiziwa kisiasa .Mbowe ni kiongozi mzuri tu na ameijenga sana Chadema hii haina ubishi lakini kwa aina ya CCM na serikali yake
Mbowe ni kiongozi mzuri tu na ameijenga sana Chadema hii haina ubishi lakini kwa aina ya CCM na serikali yake inavyoendesha siasa za kibabe na kikatili tunamhitaji Lissu aongoze mpambano huu kwa sasa. Tunahitaji siasa za kianaharakati kwa sasa kwani CCM hawataki siasa za kistaarabu na kidemokrasia.
inavyoendesha siasa za kibabe na kikatili tunamhitaji Lissu aongoze mpambano huu kwa sasa. Tunahitaji siasa za kianaharakati kwa sasa kwani CCM hawataki siasa za kistaarabu na kidemokrasia.
Nadhani hofu yao kubwa nikukikabidhi chama kwa mamluki.Kama tuihubiri DEMOKRASIA ya kweli Nchini,
Tusisite kumwambia ukweli Mbowe asisite kuachia kijiti Cha uongozi Kwa wengine.
Kama aliaminiwa na waasisi waliomtangulia yeye hana budi pia kuwaamini wengine pia
Kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa kiujumla TUNAENDA NA LISSU
Ni kweli na wanahoja ya msingiHiviNadhani hofu yao kubwa nikukikabidhi chama kwa mamluki.
Ngoja muda utasema
Yuko wapi?Jenster mwagama anafaa
Wewe umepiga?Pigakura moja tu,
Kwanza, Gusa jina la Unayedhani anafaa kuiongoza CHADEMA kwa Sasa,
Pili, Bonyeza sehemu imeandikwa "Cast Vote"
Mwisho unaweza kuacha ujumbe wa kikampeni kwa wachangiaji wanafuata.
Huu mnyukano ni balaa aiseeView attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Tanzania ni yetu sote!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.
Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Huwezi kushindana na dola kwa kupayukapayuka siasa sio uwanaharakati CDM kilikuwq chama cha uharakati sana ila Lowasa aliwafunza thatwhy uliona matokeo yakeMbowe yuko soft sana kwa maCCM. Right now we need confrontational politics....eye to eye politicking
Haya ni mawazo yako na yatabakia kuwa yakoHuwezi kushindana na dola kwa kupayukapayuka siasa sio uwanaharakati CDM kilikuwq chama cha uharakati sana ila Lowasa aliwafunza thatwhy uliona matokeo yake
Serekali haswa hizi za kiafrika ukijidai una mdomo sana unapotezwa na hakuna chochote utakachofanya
Ok let's say Lisu amepewa kiti then aje na mataamko yake atatulizwa tu itatoka amri hakuna harakati za kisiasa hadi uchaguzi na hakuna mikutano ya ndani wala nje utafanyia wapi siasa zako
Ukileta ujuaji unachezea kesi hadi unafia jela au mahakaman
Kama Lisu hafai kwa sasa,Ina maana CHADEMA mwanzo walitaka Watanzania wampe uraisi mwanaharakati ,lakini mwanaharakati asiefaaa kuwa Mwenyekiti anafaa kuwa raisiChadema bado inamhitaji Mbowe kwa nyakati hizi. Wanaharakati kupewa Chama kwa nyakati hizi itawawia ngumu kufanya kazi kutokana na miongozo ya vyama vya siasa chini ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.