Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .

serekali moja
sababu mpaka leo sioni sababu ya muungano qa zanzibar na tanganyika bcs sijui kwa nini karume na nyerere waliamua hivyo pili kama kuna sababu hizo ni zipi na bado ni validi mpaka sasa? another thing kila kukicha zanzibar wanaona tanganyika inawameza so ni manunguniko kila kukicha mbara hana rights za kuishi zanzibar kama mzanzibari anavyoishi tanganyika so to me muungano hauna maana tena na sidhani hata kiuchumi kama tanzania bara inategemea sana visiwani it is time to let it go
 
mawazo haya yamepitwa na wakati hatuangalii western au eastern wanasemaje kila nchi huru ina mipango yake ya ulinzi so Zanzibar itakuwa nchi huru yenye maamuzi yake na ulinzi wake na sio ya kugombaniwa kama unavyofikiri. Ache wananchi waamue kile wanachokitaka matokeo ya kulazimisha watu kuungana tulishayaona mfano mzuri yugoslavia nk
 
Solution iko kwenye Ibara ya 98 ya Katiba ya JMT, 1977, yaani kupeleka Azimio Bungeni la Kuvunja Muungano! Lazima zipatikane kura theluthi 2 kila upande, otherwise Muungano is here to stay!
Muungano ni maridhiano ya pande mbili zinazohusika na upande mmoja ukiona hakuna haja ya muungano upande wa pili hauwezi kulazimisha kisa eti kuna ibara ya 98 ya mwaka 1977 kumbuka tuko mwaka 2014 kuna mabadiliko mengi yametokea hivyo pande mbili zinahitaji kuamua aina ya muungano wanaoutaka sio kuwalazimisha kwa hoja za mwaka 1964> Dunia inazunguka lazima tubadilike
 
Tulishapendekeza tayari hata warioba amesema bungeni,humu jf kuna tume nyingine!
 
Seerkal moja


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
serikali 3

1 serikali ya Zanzibar

2 serikali ya Tanganyika

3 serikali ya jamhuri ya muungano.

hapa hivi vikipatikana hakika mikwaruzano no? na muungano utadum forever.
hapa kinacho watia kinyaa wazanzibar ni Tanganyika imejificha ndani ya serikali ya jamhuri ya muungano.

ukisema tuwe na muundo wa serikali mbili hapa nikuleta mambo ya kudanganyana tuu tutakuwa tunajidanganya wenyewe coz Zanzibar now inajulikana kama nchi na Tanganyika haipo imekufa badala yake tunapenda kujiita Tanzania bara at the same time jamhuri ya muungano wa Tanzania.

sasa hapa nashindwa kuelewa Zanzibar iliungana na nchi gani mpaka Tanzania ikatokea??
kama Tanganyika haitambuliki kisheria na kikatiba kama ni nchi basi no muungano.
na kama tunataka kuzungumzia mambo ya muungano basi kabla ya yote tuifufue Tanganyika yetu natuifanye itambulike kisheria na kikatiba kama ni nchi kama ilivyo Zanzibar.
 
Naungana na Hon Jdg Waryoba, Serikali tatu Tanganyika ikae ZNB ijadili ni muungano gani tunataka!!
 

Serikali tatu (3), yaani ya Muungano, (umbrela government), ambayo chini yake kutakuwa na serikali ya Tanganyika upande mmoja, na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar upande mwine. Hii ni ili kuleta usawa.
 
Shida ni MaCCM wana wasiwasi, AfroShirazi+ TANU unapata CCM sasa nje ya muungano huu, ikiwepo Tanganyika na ZNB live CCM itabaki wapi???
Mateke ya mfa maji, tusiangalie chama, ZNB walisha jitoa kwenye muungano, Tanganyika ipewe nafasi ikae na ZNB kupanga muungano unaotufaa!!
Vinginevyo tunajidanganya mwisho itatugharimu!!
Muungano hautakufa Bali utaimarika!!
 
Mnaotaka Serikali moja ni ngumu kwa sasa ZNB tayari wana serikali yao na katiba yao, mkiwangangania watadai uhuru kama wanavyosema!!
Mwishowe watatulipua mabomu, MaCCM mtatuletea majanga, kina mzee Mapuri hawatakuwepo!!
Marekebisho ni sasa Serikali TATU ni jibu muafaka!!
 
Serikali 3 zinaweza kuimarisha Muungano maana hakutakuwepo na matatizo mengi kama ya sasa maana, tayari zanzibar ni nchi, na sisi watanganyika tupewe nchi yetu halafu tuungane kwa kuacha mamlaka kamili za serikali 2 kwenye nchi moja ya Tanzania. Zanzibar na Tanganyika ziongozwe na Mawaziri Wakuu kama Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri walivyopendekeza kwenye Rasimu.
 
Hili sio la kujadili lipo wazi serikali 3 ndio muafaka.
 


naunga mkono serikali 3 bila shaka yoyote.
Ili tupate mafanikio tunahitaji changamoto hivo basi kutoka kwenye serikali 2 kwenda 3 ni moja ya changamoto zenye kuleta maendeleo ya baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…