kwanza umepiga kura yako humu jf? ucpopiga unawaangusha wenzio wa LUMUMBA. hebu angalia hapo juu kura zinavosomeka basi na nyie msiosikia ndio mnapata jibu lenu.acheni upuuzi kwani muundo wa serikali2 ndo unaoifanya ccm ibaki madarakani?........,ukawa wehu tukama wehu wa majalalani na bado mmeshindwa kuwashawishi wananchi wawape nchi mmeona mkimbilie kwenye muungano na mtakufa vibudu hatuwapi nchi vichaa kiufupi imekula kwenu
l
Serikali 2 ndo mpango mzima! Tukiendekeza 3 Serikali ya Muungano itakuwa haina hata ardhi (ardhi si suala la Muungano) na itakuwa ombaomba kwa nchi washirika kwa kuwa haina vyanzo vya mapato vya kwake!
Ni kiasi gani cha fedha kitatumia kuendesha serekali hii ya 3. Nchi inashindwa hata kumaliza tatizo la madawati milioni moja na laki 3 yanayotkwa katika shule za msingi, inatoa madawati lakini moja tu kila mwaka. Tutakua tunakuza uchumi au kuudololesha? Serekali 3 is a way out f muungano, tume ingesugest 1 kila nchi ikaongozwa na waziri mkuu ningeunga mkono lakin kuongeza serekali ya tatu ni kuwaongezea mzigo watanzania. Na asilimia kubwa ya watakaobeba mzigo huu ni watu wa bara na si visiwani.
Serikali moja itakuwa ngumu kivipi? in my opinion tatu zitakuwa ngumu zaidi kumanage. nchi ni moja na serikali ni moja!Serikali 3 is the best option kwa upande wangu.
Serikali mbili ni kuendeleza kero za muungano na pia katiba ya Zanzibar ya sasa ni tatizo kwa muundo uliopo.
Serikali moja itakuwa vigumu ku-manage kuiendesha.
Kama tunataka kudumisha muungano basi tuwe na serikali 1 tu, mean that Zanzibar isiwe nchi bali mkoa kama mikoa mingi ila kama hiyo ni ngumu basi tuwe na serikali tatu na wala si mbili kama ccm wanavyotaka kutuaminisha.