Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
Serikali 3 Tunaongeza tu kero za muungano bajeti ya zanziba haifikiii hata bajeti ya wizara ya ulinzi sasa Zanziba watawezaje kuchangia kwenye wizara za muungano
Suluhu ni Serikali moja tuu
 
Sasa wewe uliyeanzisha uzi huu, page zimefika 15 siufanye analysis then utupe updates kwenye bandiko lako kama update ili tuone mpaka sasa trend ikoje?
 
tuendelee na serikali mbili,kama saivi..
Tatu za kazi gani,kuongeza cost tu,af huyo rais wa serikali 3 me naona atakuwa powerless,
 
Serikali 2 ndo mpango mzima! Tukiendekeza 3 Serikali ya Muungano itakuwa haina hata ardhi (ardhi si suala la Muungano) na itakuwa ombaomba kwa nchi washirika kwa kuwa haina vyanzo vya mapato vya kwake!

Ya Muungano sasa ina ardhi Tanganyika pekee, je ni halali?
 
tuendelee na serikali mbili,kama saivi..
Tatu za kazi gani,kuongeza cost tu,af huyo rais wa serikali 3 me naona atakuwa powerless,

Siyo lazima kuwe na Marais 3, anaweza kuwa Rais1 tu, nchi washirika zikatoa viongoz wengine kama Waziri Mkuu.
 
Serikali tatu n upuuz mtupu cha zaid n kutengenezeaa watu ulaji kama mbili zmeshindwa tatu ztawezeaa wap????
 
Serikali tatu n upuuz mtupu cha zaid n kutengenezeaa watu ulaji kama mbili zmeshindwa tatu ztawezeaa wap????

Kama zanzibar wao wanaweza kwanini Tanganyika ishindwe kuendesha mambo yake ya ndani wenyewe?
Kwanini ifanye shughuli zake kujificha ndani ya Tanzania?
Woga wa gharama unatoka wapi? Bila ya serikali 3 hakuna usawa Tanganyika imehodhi muungano kwa jina la Tanzania na kujifaidisha wao zaidi .tunataka kila mtu ajiendeshe ma Tz iwe juu ya zote 2 .
 
Serikali 3 kama mbili iwe ya zanzibar pekeake na tanganyika kivyao no need of muungano
 
Kwa maoni yangu Tanzania tunahitaji serikali kuu moja tu na serikali za mitaa husika. Hili liwekwe kwa lugha ya Kiswahili sanifu bila kupindisha maneno.
 
teh, mkuu wanahofu na gharama za uchaguzi.
 
Serekali tatu ndo mpango mzima kama ilivyoainishwa katika rasimu ya katiba, sura ya sita(muundo wa jamhuri ya muungano) kifungu cha 57: utata unakuja katika kifungu cha 66 ibara ya 3 kutakuwa na marahisi wa tatu: mimi binafsi napendekeza serekali 3:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…