nyanthorogo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 220
- 402
serikali moja tu ndio solution
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi ipo ila nategemea na utashi wa kisiasa na uwazi katika kujadili masuala ya muungano. Viongozi wetu hasa wa kitanganyika siyo wawazi sana linapokuja suala la muungano. Ndio maana hata kwenye Tume ya Warioba wengine walipendekeza serikali tatu lakini sasa ni wanazi wa serikali mbili.Ingependeza hivyo ila kwa mazingira ya sasa unadhani kunahata kanafasi kakuweza kurudi hapo??
S3 majanga!! tuangalie hii: CUF itawale Zanzibar, CCM itawale Tanganyika, Serikali ya shirikisho itawale CHADEMA.. 'naamini ikiwa hivi hali ya hatari itatokea katika nchi yetu TZ. Tuwe makini wa TZ.
S3 majanga!! tuangalie hii: CUF itawale Zanzibar, CCM itawale Tanganyika, Serikali ya shirikisho itawale CHADEMA.. 'naamini ikiwa hivi hali ya hatari itatokea katika nchi yetu TZ. Tuwe makini wa TZ.
hakutakuwa na sababu ya kuendelea na mchakato wala fikra za katiba ya JMT ila kuuvunja Muungano. Katika hali iliyopo leo Wazanzibar wana kila sababu ya kutoutaka Muungano kwa sababu imeeleweka kuwa serikali ya Muungano ni serikali ya Tanganyika na tumelivaa kweli koti la Muungano japo tunakataa. Tukionyesha nia la kulivua koti hilo sidhani kama hawataukubali Muungano wenye fursa sawa kwa wote.Wazo zuri ila tatizo langu ni kuwa je ikitokea watu wa Zanzibar hawataki muungano hali watu wa Tanganyika wanataka Muungano, ili tatizo litatuliwaje?