Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani jk hukumsikiliza umeokota maneno yako ulikoyatoa ukaja kuyabandika hapa hebu jitafakari vizuri uliyoandika hapa kweli ndiyo ambayo jk aliongea kama ulimsikiliza kweli.Tumekuwa tukishuhudia mvutano mkali kati ya maoni ya wananchi kupitia tume ya Warioba kwa upande mmoja na mtazamo wa ccm kupitia kwa jk kwa upande mwingine juu ya muundo wa muungano. Ccm wanasema ili kumaliza kero ni kuwapa kile wanachotaka wazanzibar, sasa je, kuungana ni kugawana mambo ya muungano? Wananchi waliona mbali kwamba ni bora kila mshirika wa muungano ashughulikie mambo yake.🙂
Nadhani jk hukumsikiliza umeokota maneno yako ulikoyatoa ukaja kuyabandika hapa hebu jitafakari vizuri uliyoandika hapa kweli ndiyo ambayo jk aliongea kama ulimsikiliza kweli.
Muungano unaosimamia Zanzibar huru na Tanganyika huru hauepukiki. Hivyo Tanganyika huru kwa sasa haipukiki. Hata wapige mkwara ukweli ndo huo!Acha kuota bila kulala muungao lazima udumu kwa neema za bwana hakuna shetani yoyote atakayeweza kuuvunja muungano unamanufaa makubwa kwetu sote watanzania.