Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo.
Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya mabeberu.
Katika wachangiaji mmoja alikuwa balozi wa Tanzania. Mzalendo na mkali kweli kweli, anataka nchi moja kura moja!
Ajabu ni kuwa balozi wetu anataka usawa wa kura UN ambao haupo nyumbani.
Balozi anagomba na kura ya Veto wakati Japan, Italy, Spain, Saudi Arabia, Brazil nk hawana taabu nayo?!
Sisi hawa hawa wapiga nyungu, tusioheshimu haki za binadamu, wezi wezi wa kura, nk? Ila tunataka kura moja kwa nchi UN, sawa na awaye yote?
Tuna agenda gani sisi? Labda ya kuiambukiza dunia umasikini?
Ukweli mchungu aliyeuona umuhimu wa kura ya Veto alikuwa genius kweri kweri.
Utaratibu huu na udumu milele kwa mustakabala mwema wa dunia hii.