Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Unahasira Sana ndugu, kunywa maji utulie na ufanye Mambo yako
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao weusi wa Marekani wameathiriwa na kuwa karibu ya wazungu. Otherwise wangeachwa wangekua kama sisi huku. Ndo maana nasema sis weusi hamna kitu.Mkuu, in America there are whites as well as blacks. Or else you are saying the blacks in America have white mind too.
Tuweke mambo sawa hapa. Wenzetu wametutangulia. Tungali gizani.
"Wanaotuchelewesha gizani ni hawa viongozi wetu ambao badala ya kuwa wakweli na wawazi wamejificha kwenye huu uongo uongo kama yule balozi kwa jina la uzalendo."
Tulipo tuna nini kwa ajili ya ustawi dunia hii?
Hata ndani ya familia zetu kuna watu wana kura za veto, sembuse kwa dunia. Kwenye familia, akitokea mtu maarufu, kiongozi, au mtu mwenye kipaji chake chochote, tayari ni kura ya veto kwenye kupanga uelekeo wa familia hiyo.Pole mleta mada kwa kukwazwa na msimamo wa balozi wetu, ambaye mimi nampongeza.
Nadhani unahitaji elimu ya kutosha kuuelewa msimamo na faida za msimamo huo wa Balozi huyo.
What's the problem?
As fat as it's the memberahip thing, I believe the membership can be denounced by any member state whenever they deem necessary to. Hamna anaelezimishwa kuwepo huko. Kama mnaona mnaonewa ombeni kujitoa.
I bet hata zikatungwa sheria ngumu na mkafukuzwa huko bado mtaomba mrejeshwe ili tu mfaidi misaada ya mabeberu ambao ndo wachangiaji wakuu wa huo umoja.
Alafu just to prove kuwa Viongozi wa Africa ni wajinga na wapuuzi wasio na aibu. Yaani kipindi Rais wa US anahangaika na wenzake wa Ulaya kuanzisha UN miaka 77 nyuma ninyi mlikua wapi au mnadhani walianzisha ili kuwafaidisha ninyi msiojitambua.
Kama mataifa ya Ulaya yenye uchmi mkubwa na mzuri na imara sana ambayo sio wanachama wa kudumu wa UN, ambao hata kwenye United Nations Security Council (UNCC) hayapo na yanakaa kimya juu ya VETO wewe mdhaifu na maskini mmoja kutoka kwenu bara la wasiojitambua unataka uheshimiwe?
Bora ukoloni Africa usingekoma. Tugeendelea tu kuwa chini ya wakoloni tena bora mara hii US angeziteka nchi za Africa ywe makoloni yake baada ya WW 2 naamini tungekua tumefika mbali sana kuliko hapa.
Hata ndani ya familia zetu kuna watu wana kura za veto, sembuse kwa dunia. Kwenye familia, akitokea mtu maarufu, kiongozi, au mtu mwenye kipaji chake chochote, tayari ni kura ya veto kwenye kupanga uelekeo wa familia hiyo.
Nchini, kuna kikundi cha watu wachache kwenye vyama vya siasa na taasisi za muhimu, wana kura zao za veto. Bila hawa kuamua mambo hayawezi kwenda.
Kwenye makampuni, mwenye shea asilimia kubwa anakuwa na kura ya VETO. Wenye maamuzi ya hatima ya kampuni ni lazima wawe na veto bila ubishi wowote.
Binafsi sina uelewa wa huo mfumo tunaoupigania wabongo. Ila nina uhakika utakuwa ni mfumo wa kimagumashi tu. Watanzania hawawezi kuaminika kwa lolote. Tunachojikubali nacho bila kupinga ni kujifanya ombaomba.
Hao weusi wa Marekani wameathiriwa na kuwa karibu ya wazungu. Otherwise wangeachwa wangekua kama sisi huku. Ndo maana nasema sis weusi hamna kitu.
Nadhani unafahamu jinsi CCM na Serikali yake, walivyojaa unafiki. Kwa hiyo usishangae , hivyo ndivyo walivyo. Tinapenda kutendewa haki ilihali sisi wenyewe tuna mfumo wa utawala ulio dhalimu kupindukia.Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo.
Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya mabeberu.
Katika wachangiaji mmoja alikuwa balozi wa Tanzania. Mzalendo na mkali kweli kweli, anataka nchi moja kura moja!
Ajabu ni kuwa balozi wetu anataka usawa wa kura UN ambao haupo nyumbani.
Balozi anagomba na kura ya Veto wakati Japan, Italy, Spain, Saudi Arabia, Brazil nk hawana taabu nayo?
Sisi hawa hawa wapiga nyungu, tusioheshimu haki za binadamu, wezi wezi wa kura, nk? Ila tunataka kura moja kwa nchi UN sawa na awaye yote?
Tuna agenda gani sisi? Labda ya kuiambukiza dunia umasikini?
Ukweli mchungu aliyeuona umuhimu wa kura ya Veto alikuwa genius kweri kweri.
Utaratibu huu na udumu milele kwa mustakabala mwema wa dunia hii.
Mkuu hilo neno "akati" maana yake ni nini?Nimelipenda katika utumiaji wako.Huu ndo upuuzi wa viongozi wa Africa, yaani anataka awe na maamuzi wakati hana substance yoyote ya kufanya hivo.
1. Eti Veto akati hata michango ya fedha UN hutoi, unategemea wao ndo wakupe misaada kila ukiwapelekea bakuli.
2. Unataka Veto akati wewe unakandamiza wananchi wako nyumbani.
3. Unataka Veto akati viongozi wako hawana akili, aibu, busara wala uwajibikaji wowote kwa waliowachagua.
4. Unataka utambuliwe na kupewa haki sawa wakati nyumbani kwako unawabana na kuwanyanyasa wapinzani wako.
6. Unataka usibaguliwe kwa ufukara wako na ujinga wako na mtazamo wako wakati kwenu mtu asie kada wa chama tawala ni adui na hastahili kupata nafasi yoyote ya uongozi. Mnabaguana kwa itikadi za vyama lakin mnataka kwenye siasa za kimataifa mtambuliwe na kuheshimiwa na watu wenye siasa safi.
5. Yaani unataka uheshimike mbele ya wanaokupa misaada na kukusaidia kwenda chooni na bado kila mwaka wanafund bajeti yako ili usife njaa. unataka sauti sawa na mataifa makubwa yenye akili kuliko wewe mpuuzi. Who are you Fool?
Shame on African Fools claiming to seek equal grounds in the UN!
Na hii inaweza kuwa uthibitisho sisi waafrika tuna shida.. yani mada yoote ulichoona ni "akati"!Mkuu hilo neno "akati" maana yake ni nini?Nimelipenda katika utumiaji wako.
Mkuu,hata ukila ubwabwa si vibaya kuisifu kachumbari badala ya kilichokushibisha Ulivyoandika "akati" nikajua haujabalehe mkuu wangu.Samahani kama nitakuwa nimekuudhi mkuuNa hii inaweza kuwa uthibitisho sisi waafrika tuna shida.. yani mada yoote ulichoona ni "akati"!
Alafu tunaenda UN kukosoa VETO dah!
Mkuu hilo neno "akati" maana yake ni nini?Nimelipenda katika utumiaji wako.
Kalirudia zaidi ya mara mbili.Ametisha sana.Itakuwa typo hapo -- wakati
Kalirudia zaidi ya mara mbili.Ametisha sana.
Ndo maana nikasema Waafrika wengi ni wajinga na wapumbavu kwa kiwango kikubwa sana:Mkuu,hata ukila ubwabwa si vibaya kuisifu kachumbari badala ya kilichokushibisha Ulivyoandika "akati" nikajua haujabalehe mkuu wangu.Samahani kama nitakuwa nimekuudhi mkuu