Kura ya Veto UN, waafrika tunavyojidangaya

Kura ya Veto UN, waafrika tunavyojidangaya

Sisi hawa hawa ambao wakati wa uchaguzi kwenye vyama vyetu tunaambiana sumu haionjwi kwa ulimi na tunashangilia, ni lazima tuone mabadiliko kwenye UN siyo ya lazima. Hatuwezi kuona umuhimu wa Africa kuwa na kura ya turufu kwa sababu ya inferiority complex tuliyojijengea kwenye bongo zetu.

Upewe veto wewe ndugu ili dunia itegemee mchango gani kwako? Sumu za kwenye maji kama za kina Mangula, jiwe au Mwakyembe?

Japan, Indonesia, Australia, Sweden, Canada, nk wanatambua umuhimu wa wenye veto isipokuwa majizi na mauwaji nyie?

WTF?!
 
Back
Top Bottom