Kura ya Veto UN, waafrika tunavyojidangaya

What's the problem?

As far as it's the membership thing, I believe the membership can be denounced by any member state whenever they deem necessary to. Hamna anaelezimishwa kuwepo huko. Kama mnaona mnaonewa ombeni kujitoa.

I bet hata zikatungwa sheria ngumu na mkafukuzwa huko bado mtaomba mrejeshwe ili tu mfaidi misaada ya mabeberu ambao ndo wachangiaji wakuu wa huo umoja.

Alafu just to prove kuwa Viongozi wa Africa ni wajinga na wapuuzi wasio na aibu. Yaani kipindi Rais wa US anahangaika na wenzake wa Ulaya kuanzisha UN miaka 77 nyuma ninyi mlikua wapi au mnadhani walianzisha ili kuwafaidisha ninyi msiojitambua.

Kama mataifa ya Ulaya yenye uchumi mkubwa na mzuri na imara sana ambayo sio wanachama wa kudumu wa UN, ambao hata kwenye United Nations Security Council (UNCC) hayapo na yanakaa kimya juu ya VETO wewe mdhaifu na maskini mmoja kutoka kwenu bara la wasiojitambua unataka uheshimiwe?

Bora ukoloni Africa usingekoma. Tugeendelea tu kuwa chini ya wakoloni tena bora mara hii US angeziteka nchi za Africa yawe makoloni yake baada ya WW 2 naamini tungekua tumefika mbali sana kuliko hapa.
 
Hao weusi wa Marekani wameathiriwa na kuwa karibu ya wazungu. Otherwise wangeachwa wangekua kama sisi huku. Ndo maana nasema sis weusi hamna kitu.
 
Kuwaelewa viongozi wa Africa sometimes unahitaji miujiza
 
Pole mleta mada kwa kukwazwa na msimamo wa balozi wetu, ambaye mimi nampongeza.

Nadhani unahitaji elimu ya kutosha kuuelewa msimamo na faida za msimamo huo wa Balozi huyo.
Hata ndani ya familia zetu kuna watu wana kura za veto, sembuse kwa dunia. Kwenye familia, akitokea mtu maarufu, kiongozi, au mtu mwenye kipaji chake chochote, tayari ni kura ya veto kwenye kupanga uelekeo wa familia hiyo.

Nchini, kuna kikundi cha watu wachache kwenye vyama vya siasa na taasisi za muhimu, wana kura zao za veto. Bila hawa kuamua mambo hayawezi kwenda.

Kwenye makampuni, mwenye shea asilimia kubwa anakuwa na kura ya VETO. Wenye maamuzi ya hatima ya kampuni ni lazima wawe na veto bila ubishi wowote.

Binafsi sina uelewa wa huo mfumo tunaoupigania wabongo. Ila nina uhakika utakuwa ni mfumo wa kimagumashi tu. Watanzania hawawezi kuaminika kwa lolote. Tunachojikubali nacho bila kupinga ni kujifanya ombaomba.
 

Bila ukweli wa namna hii tutaendelea mno kujidanganya. Ni kama hawa hapa tu:

 

Tanzania inataka kuiamulia dunia iliyoendelea destiny yake. WTF?!
 
Hao weusi wa Marekani wameathiriwa na kuwa karibu ya wazungu. Otherwise wangeachwa wangekua kama sisi huku. Ndo maana nasema sis weusi hamna kitu.

Kwamba wameathiriwa positively ni jambo la kheri. Kumbe na sisi tukiacha kushupaza shingo tunayo nafasi.

Suala zima liko kuwakubali waliotangulia kutuongoza na kujifunza kutoka kwao.

Kwani elimu ina mwisho?
 
Badala ya balozi kuangaikia katiba mpya yeye anapigania ujinga.
Yeye suala la Waziri kuchukua ndege kwenda Madagascar kuchukua dawa za miti shamba ambayo hayajathibitishwa ki sayansi na kuacha kwenda Wuan kuwachukua waTanzania huko aliona sawa tu.

Suala la historian ya Tanzania kuandikwa upya na baada ya Rais Jpm kuaga dunia alafu hiyo historia ikatupwa kapuni anaona sawa tu.

Huyo balazi anatakiwa apiganie ujinga wa ndani ndipo tutoke nje...asilete ujinga wa mtuhumiwa wa mauaji anaunda tume kuchunguza mauaji.
 
Teknolojia imara ndio heshima yetu.
swali hadi sasa kiteknolojia tupo level gani?
 
Huyo balozi kwanza aongoze campaign ya kudai yafuatayo:

1. Haki sawa kwa kila mtu kwenye chama chake cha CCM.

2. Utawala wa sheria na haki sawa kwa raia wote wa Taifa lake.

3. Katiba mpya itakayotoa fursa sawa kwa kila raia na itakayoweza kuifanya serikali iwajibike vilivyo pale itakapopaswa kufanya hivo.

NB: Fool and Selfish is he who wants good be done unto him when he cannot reciprocate the goodness he demands.

Charity begins at home; usiende mbali kudai makubwa wakati kwako huwezi kutimiza hata yaliyo madogo.
 
Nadhani unafahamu jinsi CCM na Serikali yake, walivyojaa unafiki. Kwa hiyo usishangae , hivyo ndivyo walivyo. Tinapenda kutendewa haki ilihali sisi wenyewe tuna mfumo wa utawala ulio dhalimu kupindukia.
 
Mkuu hilo neno "akati" maana yake ni nini?Nimelipenda katika utumiaji wako.
 
Na hii inaweza kuwa uthibitisho sisi waafrika tuna shida.. yani mada yoote ulichoona ni "akati"!

Alafu tunaenda UN kukosoa VETO dah!
Mkuu,hata ukila ubwabwa si vibaya kuisifu kachumbari badala ya kilichokushibisha Ulivyoandika "akati" nikajua haujabalehe mkuu wangu.Samahani kama nitakuwa nimekuudhi mkuu
 
Mkuu,hata ukila ubwabwa si vibaya kuisifu kachumbari badala ya kilichokushibisha Ulivyoandika "akati" nikajua haujabalehe mkuu wangu.Samahani kama nitakuwa nimekuudhi mkuu
Ndo maana nikasema Waafrika wengi ni wajinga na wapumbavu kwa kiwango kikubwa sana:

Sasa wewe hujui hata namna ya kuandika.

Yaani hujui kuwa baada ya alama ya kituo (.) au koma (,) kwenye sentensi inabidi uache nafasi ndo uanze neno lingine. Angalia ulivoandika hapo:

"Mkuu,hata ukila..." badala ya "Mkuu, hata ukila..."

"....wangu.Samahan..." badala ya "...wangu. Samahani..."

Jifunze kwanza alama za uandishi na matumizi yake kisha jifunze uandishi wa aya ndo urudi hapa kubishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…