Sisi hawa hawa ambao wakati wa uchaguzi kwenye vyama vyetu tunaambiana sumu haionjwi kwa ulimi na tunashangilia, ni lazima tuone mabadiliko kwenye UN siyo ya lazima. Hatuwezi kuona umuhimu wa Africa kuwa na kura ya turufu kwa sababu ya inferiority complex tuliyojijengea kwenye bongo zetu.