KURA YAKO: Freeman Mbowe, Odero Charles na Tundu Lissu

Kura yako inaenda kwa nani?


  • Total voters
    210
  • Poll closed .
Halafu kwenye uchaguzi wakuu wa wilaya wanaingia msituni kusaka kura!
 
Badilika usiwe mtu wa hovyo namna hiyo, msema kweli ni yule anaye pinga rushwa,ufisadi,upendeleo na matumizi mabaya ya ofisi na mamlaka hadharani bila kuogopa chochote .
kwa mfano anae pinga rushwa ni nani gentleman?

ni huyu huyu Kibaraka alie muita hayati Lowasa Fisadi akiwa CCM, na kisha baada ya kuhamia chadema huyo huyo Fisadi hayati Lowasa akawa Mtakatifu na sio Fisadi tena, Kibaraka akawa anamnadi nchi nzima?

Kibaraka huyu huyu anaewalipa wapambe wake waitishe press conference mbeya na maeneo mengine nchini ndiyo msafi?

ni muhimu ukajitenga na upotoshaji gentleman ๐Ÿ’
 
Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
Unauliza majibu boss..!

Mbingu imeshampa TUNDU ANTIPASY MUGHWAY LISSU uenyekiti wa CHADEMA taifa...

Na mbingu hiyohiyo imeshampa u - Rais wa Tanganyika ndugu Tundu Lissu, kwamba, ndiye atakayekuwa mgombea u - Rais mwaka 2025 baada ya REFORMS ZA KISHERIA NA KIKATIBA kufanyika...
 
Mwenyekiti wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi watetea ufirauni na ndoa za jinsia moja right?๐Ÿ’
Naona alishakuinamisha na hakukulipa. Chuki ulizonazo ni kama za sh..ga aliyetapeliwa
 
Naona alishakuinamisha na hakukulipa. Chuki ulizonazo ni kama za sh..ga aliyetapeliwa
hapana gentleman,
sina chuki wala sina haja ya kulipwa kusema ukweli wa kisiasa,
ni wajibu wangu kma mbobevu muandamizi kueleza na kufafanua kwa wadau masuala haya ya kisiasa kitaalamu,

huna haja ya kupotosha wadau
 
Ladies And Gentleman hua sikuelewi
 
Mbowe ni Mwenyekiti wa CDM baada ya kamdomo kujiharibia wemuewe.
 
Aliyesema tumebadili gia angani na kumchukua Lowasa ni nani ? Kama sio Mbowe mwenyewe. Huyuhuyu Mbowe uliyemwita Gaidi na kusema anyongwe, amekuwa malaika ghafla ?
 
Kura za maoni kote lissu anaongoza , kwa mara ya kwanza chadema wanaenda kinyume na maoni ya umma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
hapana gentleman,
sina chuki wala sina haja ya kulipwa kusema ukweli wa kisiasa,
ni wajibu wangu kma mbobevu muandamizi kueleza na kufafanua kwa wadau masuala haya ya kisiasa kitaalamu,

huna haja ya kupotosha wadau
Mbobevu au chawa tu unahangaikia posho. Huyu Mbowe asipojiangalia akachora mstari,mtamfilisi hizo pesa za Abdul asizifanyie chochote cha maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ