Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Mbowe anazidiwa mpaka na Odero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kwenye uchaguzi wakuu wa wilaya wanaingia msituni kusaka kura!Kura au vijihisia..
Kura zinapigwa na wajumbe wa MM hizi bla bla ni hisia tu...
Nafananisha na Kura za mitandaoni kipindi chote cha uchaguzi mkuu Tanzania toka 2010..
Upinzani wamekuwa washindi wa jumla mtandaoni.. kwenye uhalisia hawajawahi fikisha wabunge 120 toka MPD ianze mwaka 1995...
Hizi kimombo zinaitwa Mere wishes
kwa mfano anae pinga rushwa ni nani gentleman?Badilika usiwe mtu wa hovyo namna hiyo, msema kweli ni yule anaye pinga rushwa,ufisadi,upendeleo na matumizi mabaya ya ofisi na mamlaka hadharani bila kuogopa chochote .
Unauliza majibu boss..!Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
Naona alishakuinamisha na hakukulipa. Chuki ulizonazo ni kama za sh..ga aliyetapeliwaMwenyekiti wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi watetea ufirauni na ndoa za jinsia moja right?🐒
hapana gentleman,Naona alishakuinamisha na hakukulipa. Chuki ulizonazo ni kama za sh..ga aliyetapeliwa

💐💐💐💐💐💐Lissu ndio Mwenyekiti
Ladies And Gentleman hua sikuelewikwa mfano anae pinga rushwa ni nani gentleman?
ni huyu huyu Kibaraka alie muita hayati Lowasa Fisadi akiwa CCM, na kisha baada ya kuhamia chadema huyo huyo Fisadi hayati Lowasa akawa Mtakatifu na sio Fisadi tena, Kibaraka akawa anamnadi nchi nzima?
Kibaraka huyu huyu anaewalipa wapambe wake waitishe press conference mbeya na maeneo mengine nchini ndiyo msafi?
ni muhimu ukajitenga na upotoshaji gentleman 🐒
ni vigumu mno kuelewa mambo muhimu kisiasa ukiwa na mihemko gentleman,Ladies And Gentleman hua sikuelewi

Aliyesema tumebadili gia angani na kumchukua Lowasa ni nani ? Kama sio Mbowe mwenyewe. Huyuhuyu Mbowe uliyemwita Gaidi na kusema anyongwe, amekuwa malaika ghafla ?kwa mfano anae pinga rushwa ni nani gentleman?
ni huyu huyu Kibaraka alie muita hayati Lowasa Fisadi akiwa CCM, na kisha baada ya kuhamia chadema huyo huyo Fisadi hayati Lowasa akawa Mtakatifu na sio Fisadi tena, Kibaraka akawa anamnadi nchi nzima?
Kibaraka huyu huyu anaewalipa wapambe wake waitishe press conference mbeya na maeneo mengine nchini ndiyo msafi?
ni muhimu ukajitenga na upotoshaji gentleman 🐒
Kitendo Cha juzi kukimbia mdahalo ndo militia fora zaidi...Mbowe anazidiwa mpaka na Odero
unampango was kutuonesha manyonyo?CDM mkishindwa kutupa Lissu kama Mwenyekiti ni bora twende na Odero, potelea pote.
Mbobevu au chawa tu unahangaikia posho. Huyu Mbowe asipojiangalia akachora mstari,mtamfilisi hizo pesa za Abdul asizifanyie chochote cha maanahapana gentleman,
sina chuki wala sina haja ya kulipwa kusema ukweli wa kisiasa,
ni wajibu wangu kma mbobevu muandamizi kueleza na kufafanua kwa wadau masuala haya ya kisiasa kitaalamu,
huna haja ya kupotosha wadau![]()