Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.
Tindo natamani 2025 iwe karibu na uchaguzi ufanyike. Hayo machuki yako dhidi ya JPM unajirisha upepo tu.Dhalimu ameshanajisi box la kura, hakuna mwananchi anayejtambua ana muda tena na kupiga kura. Dhalimu mwenyewe hakushinda kwa kura halali 2020. Na kwa taarifa yako ile mbegu mbaya aliyootesha dhalimu kwenye chaguzi za nchi hii, ccm haitakaa iheshimu tena box la kura, labda yatokee machafuko. Hiyo kusema kanda ya ziwa sijui ina kura nyingi ni kujilisha upepo tu na kutishia watu wazima nyau.
Mi kanikera sana! Hawezi kufanya vitu vyake mpaka amtaje Magufuli! Very stupid behaviour!
Nadhani kinachokusumbua ni ujinga wa kukaririshwa upumbavu. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa walipoikataa CCM ulikuwa na akili timamu?
Na kama anakuwa jirani unamtemea mate huku unamtweza.😂😂😂😂Shetani anatajwa kila mara ili watu wasimfuate. Dhalimu lazima aanikwe.
Tindo natamani 2025 iwe karibu na uchaguzi ufanyike. Hayo machuki yako dhidi ya JPM unajirisha upepo tu.
Hata Jakaya anajua fika kuwa mwaka 2005 watu wa kaskazini walimkataa na kumnyima kura na kanda ya ziwa wakampa urais.
Wewe upeo wako ni kiduchu sana...
Kabisa kabisa mkuu.Dhalimu angekuwa anakubalika angeheshimu box la kura. Shetani yoyote namchukia vibaya.
Vuta historia ya mwaka 2005 wewe na ndugu zako wa Moshi mlivyokataa Jakaya. Alafu fuatilia watu wa Kanda ya wanaume walimpa Jakaya uraisFalsafa ya huyo dhalimu ilikuwa kuteka na kushinda kwa kupita bila kupangwa. Uzuri hata majizi ya msoga line wanajua kura halali zilikuwa ni kiasi gani, na huyo dhalimu hakupata kura zozote za maana huko kanda ya ziwa mnakotishia nako wanaume.
Tindo natamani 2025 iwe karibu na uchaguzi ufanyike. Hayo machuki yako dhidi ya JPM unajirisha upepo tu.
Hata Jakaya anajua fika kuwa mwaka 2005 watu wa kaskazini walimkataa na kumnyima kura na kanda ya ziwa wakampa urais.
Wewe upeo wako ni kiduchu sana...
Kabisa, eti hawa maboya wa sukuma gang wanatishia na kanda ya ziwa, inakuwa as if watu hatukuona ile idadi ndogo mno ya wapiga kura,na sababu hasa ni tabia za dhalimu kwenye demokrasia.Na kama anakuwa jirani unamtemea mate huku unamtweza.😂😂😂😂
Hebu dhibitisha ukanda wa jpm,na pia uonevu wake ni upi?,Falsafa ya uonevu, uuaji, upendeleo wa kanda ya ziwa ndo watanzania wataunga mkono? Labda wasukuma tu ila watanzania tumekataa falsafa zozote zile za uonevu hatuzitaki kabisa,,
Hawa jamaa wana hasira kali kweli kweli...Eh kisasi bin haki
Ulikuwa umesafiri?Hebu dhibitisha ukanda wa jpm,na pia uonevu wake ni upi?,
Endelea kujilitekenya na kujicheka mwenyewe,Dhalimu ameshanajisi box la kura, hakuna mwananchi anayejtambua ana muda tena na kupiga kura. Dhalimu mwenyewe hakushinda kwa kura halali 2020. Na kwa taarifa yako ile mbegu mbaya aliyootesha dhalimu kwenye chaguzi za nchi hii, ccm haitakaa iheshimu tena box la kura, labda yatokee machafuko. Hiyo kusema kanda ya ziwa sijui ina kura nyingi ni kujilisha upepo tu na kutishia watu wazima nyau.
Mi kanikera sana! Hawezi kufanya vitu vyake mpaka amtaje Magufuli! Very stupid behaviour!
Vuta historia ya mwaka 2005 wewe na ndugu zako wa Moshi mlivyokataa jakaya. Alafu fuatilia watu wa Kanda ya wanaume walimpa Jakaya urais
Kikwete ilifikia kila akienda mwanza anazomewa,mpaka aambatane na waziri wa ujenzi,akienda peke ake ni polisi ndio wanamsaidiaTindo natamani 2025 iwe karibu na uchaguzi ufanyike. Hayo machuki yako dhidi ya JPM unajirisha upepo tu.
Hata Jakaya anajua fika kuwa mwaka 2005 watu wa kaskazini walimkataa na kumnyima kura na kanda ya ziwa wakampa urais.
Wewe upeo wako ni kiduchu sana...
Uonevu unategemea wewe ni nani. Kwa mtanzania maskini hakuna uonevu mkubwa kama tozo inayomnyang'anya mtu mwenye matatizo pesa aliyotumiwa na ndugu yake kutatulia matatizo. Serkali ya SSH imeamua kuwanyang'anya maskini wanaotumiwa pesa na watoto au ndugui zao kwa kuongeza tozo kwa kiasi kikubwa. Tena katika hizo tozo "the less money is sent the more you pay comparatively". Unajuwa kwenye uongozi, unatakiwa uwe na namna yako ya kuongoza bila kulinganisha au kujipendekeza. Hiyo haitakusaidia, maana unakuwa unajenga tabaka na kujionyesha kuwa wewe hufanyi kama yule, lakini hapo hapo unadai hu7kuja kitengua torati.Falsafa ya uonevu, uuaji, upendeleo wa kanda ya ziwa ndo watanzania wataunga mkono? Labda wasukuma tu ila watanzania tumekataa falsafa zozote zile za uonevu hatuzitaki kabisa,,
Huyu jamaa anachuki za kishamba sana.Endelea kujilitekenya na kujicheka mwenyewe,
Wamechafukwa na roho hadi raha yaniHawa jamaa wana hasira kali kweli kweli...
Wewe nini kidampa usiekuwa na mbele wala nyumaWamechafukwa na roha hadi raha yani