Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

Uonevu unategemea wewe ni nani. Kwa mtanzania maskini hakuna uonevu mkubwa kama tozo inayomnyang'anya mtu mwenye matatizo pesa aliyotumiwa na ndugu yake kutatulia matatizo yake. Serkali ya SSH imeamua kuwanyang'anya maskini wanaotumiwa pesa na watoto au ndugu zao kwa kuongeza tozo kwa kiasi kikubwa. Tena katika hizo tozo "the less money is sent the more you pay comparatively". Unajuwa kwenye uongozi, unatakiwa uwe na namna yako ya kuongoza bila kulinganisha au kujipendekeza. Hiyo haitakusaidia, maana unakuwa unajenga tabaka na kujionyesha kuwa wewe hufanyi kama yule, lakini hapo hapo unadai hu7kuja kitengua torati.
 
Mtakutana na Mahera, hataki bra bra
Hadi sasa huyu mama tushamkataa kanda ya ziwa, hata akitumia policcm na TICCM lazma ieleweke kura zetu tutampa mtu ambaye atapambana nae 2025.

Sio kwa matusi haya kwa Hayati JPM anaongea kana kwamba hakuwa msaidizi wake wa karibu, shame on Her.

Huyu ni zaidi ya YUDA
 
Dhalimu angekuwa anakubalika angeheshimu box la kura. Shetani yoyote namchukia vibaya.

Kabisa, eti hawa maboya wa sukuma gang wanatishia na kanda ya ziwa, inakuwa as if watu hatukuona ile idadi ndogo mno ya wapiga kura,na sababu hasa ni tabia za dhalimu kwenye demokrasia.
Ktk utawala wa jpm kuna siku amewahi kuzomewa?,wewe unayemwita jpm ni sheteni,hebu njoo hapa kariakoo usimame utamke hayo maneno kama utabaki salama,
 
Uonevu unategemea wewe ni nani. Kwa mtanzania maskini hakuna uonevu mkubwa kama tozo inayomnyang'anya mtu mwenye matatizo pesa aliyotumiwa na ndugu yake kutatulia matatizo. Serkali ya SSH imeamua kuwanyang'anya maskini wanaotumiwa pesa na watoto au ndugui zao kwa kuongeza tozo kwa kiasi kikubwa. Tena katika hizo tozo "the less money is sent the more you pay comparatively". Unajuwa kwenye uongozi, unatakiwa uwe na namna yako ya kuongoza bila kulinganisha au kujipendekeza. Hiyo haitakusaidia, maana unakuwa unajenga tabaka na kujionyesha kuwa wewe hufanyi kama yule, lakini hapo hapo unadai hu7kuja kitengua torati.

Ukipiga mahesabu ni pesa nyingi triĺlioni za pesa zinahamishwa kutoka kwa Wananchi kwenda serikalini kupitia tozo, kodi. Mfumuko wa bei unapunguza zaidi kipato halisi (purchasing power)cha Watanzania wengi.

Mazingira ya kibiashara yanazidi kuwa magumu, huoni Uongozi ukihangaika kupunguza makali ya maisha. Gharama za ujenzi, kilimo juu.


SSH anahangaika na vitu visivyo na tija kumnanga JPM, badala ya kutumia akili, muda na nguvu zake zote kutatua changamoto za Watanzania.

Kazi ya serikali ni nini? Ipo kwa ajiri ya maslahi ya nani? Kuichamba awamu na Rais aliyemrithi?
 
Dhalimu angekuwa anakubalika angeheshimu box la kura. Shetani yoyote namchukia vibaya.

Kabisa, eti hawa maboya wa sukuma gang wanatishia na kanda ya ziwa, inakuwa as if watu hatukuona ile idadi ndogo mno ya wapiga kura,na sababu hasa ni tabia za dhalimu kwenye demokrasia.
Kumbuka Wasukuma ni hazina ya kura. Wasukuma na ndugu zao Wanyamwezi wana wapiga kura millioni sita. Ukiongeza ndugu zao wa kanda ya ziwa kuna zaidi ya wapiga kura milliomi 10. Kwa hasira CHADEMA ikivuna hawa, hata kama haitapata uraisi, inaweza kutikisa bunge! Tatizo hapa lipo kwenye matusi ya rejareja ya watu wa CHADEMA ambayo watawakimbiza wapiga kura kuliko kuwavutia.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?

Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.

Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.


Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Sina uhakika na ukisemacho
 
Ktk utawala wa jpm kuna siku amewahi kuzomewa?,wewe unayemwita jpm ni sheteni,hebu njoo hapa kariakoo usimame utamke hayo maneno kama utabaki salama,
Mkuu kweli unampenda magu ila mbona liko wazi Magu nikiongozi bora tena sana licha ya madhaifu yake kupotea kwa watu, kuzuka kwa watu wasiojikana, unyanganyi kwa matajiri na kuwachukia wapinzani ila km angekuwa hana hayo ni kiongozi bora mno.
 
Back
Top Bottom