Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

"Sidhibitishi" hadi baadaye ndipo nitathibitisha.
Jpm alikuwa ni kiongozi aliyekuwa akipambana na kundi la wapigaji,tena si la ndani ya nchi tu,mpk na nje ya nchi,kwenye bendera ya com kuna alama ya jembe na nyundo, maana ake ni chama cha wakulima na wafanya kazi,yaani wavuja jasho,ccm sio chama cha mabepali,ccm ni chama cha mabodaboda,wachimbaji wadogo, mama lishe,machinga,wabeba mizigo,na wafanya biashara wadogo wadogo,lkn leo mama mikopo amekikabithi cha kwa mafisadi,
 
Ndiyo hapo kijijini kwenu walivyokuhadithia?
 
Mkuu kweli unampenda magu ila mbona liko wazi Magu nikiongozi bora tena sana licha ya madhaifu yake kupotea kwa watu, kuzuka kwa watu wasiojikana, unyanganyi kwa matajiri na kuwachukia wapinzani ila km angekuwa hana hayo ni kiongozi bora mno.
Magufuli alikuwa na uadui na waharifu,
 
Mnajidanganya sana, hii nchi sasa hiv ina amani siyo kwa upendeleo ule kwa kweli,

Mama atapiata 2025 kwa kura nyingi tu!! Hakuna wa kuiondoa CCM madarakani,
Kura za halali atapata nyingi....
 
acha kujidanganya, dunia imebadirika sana...hata hiyo 2010 watu wangeamua kuwa washenzi kupitiliza hiyo CDM isingepata hizo kura unazosema...JK huwa ni mtu fair sana sio wakujali vitu, aliweka mazingira shindani kiasi fulani ili angalau watu waone uhalisia...

Unafikiri 2025 kulikuwa na uhalisia? kuna mahala tunapaswa kuwa wakweli... JK aliwapa uhuru kiasi fulani wapinzani wa kufanya siasa ndio hayo matokeo uliyaona 2010 na 2015...
Nakumbuka kuna mgombea fulani pale Dar wa CDM hata hela ya kampeni alipewa na JK na ubunge ule kwa kiasia alisaidiwa na JK japo alikuja baadaye na kumuita dhaifu na bado JK alichukulia poa tu..
 
Wewe utakuwa shoga
 
Hadi sasa huyu mama tushamkataa kanda ya ziwa, hata akitumia policcm na TICCM lazma ieleweke kura zetu tutampa mtu ambaye atapambana nae 2025.

Sio kwa matusi haya kwa Hayati JPM anaongea kana kwamba hakuwa msaidizi wake wa karibu, shame on Her.

Huyu ni zaidi ya YUDA
mwendazake alikuwa SIMBA .
Magufuli + Samia =Simba wa Yuda .
 
jambo la muhimu ni hiki chama CCm kitoke madarakani! Ipo siku wizi na dhuruma zake vitakoma! Ameen
 
Ktk utawala wa jpm kuna siku amewahi kuzomewa?,wewe unayemwita jpm ni sheteni,hebu njoo hapa kariakoo usimame utamke hayo maneno kama utabaki salama,

Azomewe wakati alikuwa anamiliki kundi la watu wasiojulikana? Hata Iddy Amini ukienda kusema baadhi ya sehemu huko Uganda hutabaki salama. Ni hivi alikuwa shetani hutaki jinyonge.
 
Kumbuka Wasukuma ni hazina ya kura. Wasukuma na ndugu zao Wanyamwezi wana wapiga kura millioni sita. Ukiongeza ndugu zao wa kanda ya ziwa kuna zaidi ya wapiga kura milliomi 10. Kwa hasira CHADEMA ikivuna hawa, hata kama haitapata uraisi, inaweza kutikisa bunge! Tatizo hapa lipo kwenye matusi ya rejareja ya watu wa CHADEMA ambayo watawakimbiza wapiga kura kuliko kuwavutia.

Wapiga kura milioni watoke wapi wakati watu wameshapuuza zoezi la uchaguzi. Magufuli angekuwa na uhakika wa kukubalika kanda ya ziwa, asingenajisi uchaguzi wala kupika idadi ya wwpiga kura. Subiri uone chaguzi zijazo kama zitakuwa na wapiga kura wa maana, ma hayo ni madhara ya lile jizi la kura.
 
Azomewe wakati alikuwa anamiliki kundi la watu wasiojulikana? Hata Iddy Amini ukienda kusema baadhi ya sehemu huko Uganda hutaki salama. Ni hivi alikuwa shetani hutaki jinyonge.
Tindo unakumbuka mwala 2005 jinsi mlivyomkataa Jakaya Kikwete kwa ukanda wenu wa kaskazini?
 
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?

Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.

Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.

Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Nimemshangaa m*** kumsema vibaya mtu ambaye hayupo duniani. Nahisi amefundishwa aseme hivyo na sasa hivi anajutia kauli yake maana imeleta sintofahamu kwenye taifa
 
Tindo unakumbuka mwala 2005 jinsi mlivyomkataa Jakaya Kikwete kwa ukanda wenu wa kaskazini?

Singida ni kanda ya kaskazini? Au unadhani kila asiyeifagilia ccm ni mtu wa kaskazini? Huko kanda ya kaskazini hasa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara walishaachana na CCM muda mrefu, na sio wakati wa JK tu. Ni nguvu tu ya dola ndio huwa inatumika kubadilisha matokeo ya kura halali za wananchi.
 
Acha kupindisha mambo dogo. Mwaka 2005 mlibagua Jakaya kwa ukanda. Kanda ya ziwa wakampa sapoti kubwa.
 
Acha kupindisha mambo dogo. Mwaka 2005 mlibagua Jakaya kwa ukanda. Kanda ya ziwa wakampa sapoti kubwa.

Unaleta historia ya miaka 20 iliyopita ndio unanipotezea muda hapa. Hoja yako ni ipi hapa, hii ni dunia ya social media unaniletea habari za chaguzi ambazo watu walikuwa wanasubiri habari kwenye magazeti ya ccm na TBC?
 
Kwani kupata ukweli kuwa mlimtosa Jakaya kwa ukanda wa kikaskazini halijulikani?
 
Back
Top Bottom