inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Jpm ana falsafa gani mwamba...shaghala baghala!!!?Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jpm ana falsafa gani mwamba...shaghala baghala!!!?Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.
Jpm alikuwa ni kiongozi aliyekuwa akipambana na kundi la wapigaji,tena si la ndani ya nchi tu,mpk na nje ya nchi,kwenye bendera ya com kuna alama ya jembe na nyundo, maana ake ni chama cha wakulima na wafanya kazi,yaani wavuja jasho,ccm sio chama cha mabepali,ccm ni chama cha mabodaboda,wachimbaji wadogo, mama lishe,machinga,wabeba mizigo,na wafanya biashara wadogo wadogo,lkn leo mama mikopo amekikabithi cha kwa mafisadi,"Sidhibitishi" hadi baadaye ndipo nitathibitisha.
Ndiyo hapo kijijini kwenu walivyokuhadithia?Jpm alikuwa ni kiongozi aliyekuwa akipambana na kundi la wapigaji,tena si la ndani ya nchi tu,mpk na nje ya nchi,kwenye bendera ya com kuna alama ya jembe na nyundo, maana ake ni chama cha wakulima na wafanya kazi,yaani wavuja jasho,ccm sio chama cha mabepali,ccm ni chama cha mabodaboda,wachimbaji wadogo, mama lishe,machinga,wabeba mizigo,na wafanya biashara wadogo wadogo,lkn leo mama mikopo amekikabithi cha kwa mafisadi,
Magufuli alikuwa na uadui na waharifu,Mkuu kweli unampenda magu ila mbona liko wazi Magu nikiongozi bora tena sana licha ya madhaifu yake kupotea kwa watu, kuzuka kwa watu wasiojikana, unyanganyi kwa matajiri na kuwachukia wapinzani ila km angekuwa hana hayo ni kiongozi bora mno.
Kura za halali atapata nyingi....Mnajidanganya sana, hii nchi sasa hiv ina amani siyo kwa upendeleo ule kwa kweli,
Mama atapiata 2025 kwa kura nyingi tu!! Hakuna wa kuiondoa CCM madarakani,
Wewe utakuwa shogaacha kujidanganya, dunia imebadirika sana...hata hiyo 2010 watu wangeamua kuwa washenzi kupitiliza hiyo CDM isingepata hizo kura unazosema...JK huwa ni mtu fair sana sio wakujali vitu, aliweka mazingira shindani kiasi fulani ili angalau watu waone uhalisia...
Unafikiri 2025 kulikuwa na uhalisia? kuna mahala tunapaswa kuwa wakweli... JK aliwapa uhuru kiasi fulani wapinzani wa kufanya siasa ndio hayo matokeo uliyaona 2010 na 2015...
Nakumbuka kuna mgombea fulani pale Dar wa CDM hata hela ya kampeni alipewa na JK na ubunge ule kwa kiasia alisaidiwa na JK japo alikuja baadaye na kumuita dhaifu na bado JK alichukulia poa tu..
Wewe utakuwa shoga
mwendazake alikuwa SIMBA .Hadi sasa huyu mama tushamkataa kanda ya ziwa, hata akitumia policcm na TICCM lazma ieleweke kura zetu tutampa mtu ambaye atapambana nae 2025.
Sio kwa matusi haya kwa Hayati JPM anaongea kana kwamba hakuwa msaidizi wake wa karibu, shame on Her.
Huyu ni zaidi ya YUDA
Ktk utawala wa jpm kuna siku amewahi kuzomewa?,wewe unayemwita jpm ni sheteni,hebu njoo hapa kariakoo usimame utamke hayo maneno kama utabaki salama,
Kumbuka Wasukuma ni hazina ya kura. Wasukuma na ndugu zao Wanyamwezi wana wapiga kura millioni sita. Ukiongeza ndugu zao wa kanda ya ziwa kuna zaidi ya wapiga kura milliomi 10. Kwa hasira CHADEMA ikivuna hawa, hata kama haitapata uraisi, inaweza kutikisa bunge! Tatizo hapa lipo kwenye matusi ya rejareja ya watu wa CHADEMA ambayo watawakimbiza wapiga kura kuliko kuwavutia.
Nimemshangaa m*** kumsema vibaya mtu ambaye hayupo duniani. Nahisi amefundishwa aseme hivyo na sasa hivi anajutia kauli yake maana imeleta sintofahamu kwenye taifaNani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?
Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.
Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.
Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Tindo unakumbuka mwala 2005 jinsi mlivyomkataa Jakaya Kikwete kwa ukanda wenu wa kaskazini?
Acha kupindisha mambo dogo. Mwaka 2005 mlibagua Jakaya kwa ukanda. Kanda ya ziwa wakampa sapoti kubwa.Singida ni kanda ya kaskazini? Au unadhani kila asiyeifagilia ccm ni mtu wa kaskazini? Huko kanda ya kaskazini hasa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara walishaachana na CCM muda mrefu, na sio wakati wa JK tu. Ni nguvu tu ya dola ndio huwa inatumika kubadilisha matokeo ya kura halali za wananchi.
Acha kupindisha mambo dogo. Mwaka 2005 mlibagua Jakaya kwa ukanda. Kanda ya ziwa wakampa sapoti kubwa.
Kwani kupata ukweli kuwa mlimtosa Jakaya kwa ukanda wa kikaskazini halijulikani?Unaleta historia ya miaka 20 iliyopita ndio unanipotezea muda hapa. Hoja yako ni ipi hapa, hii ni dunia ya social media unaniletea habari za chaguzi ambazo watu walikuwa wanasubiri habari kwenye magazeti ya ccm na TBC?