Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

 
Mtakutana na Mahera, hataki bra bra
 
Ktk utawala wa jpm kuna siku amewahi kuzomewa?,wewe unayemwita jpm ni sheteni,hebu njoo hapa kariakoo usimame utamke hayo maneno kama utabaki salama,
 

Ukipiga mahesabu ni pesa nyingi triĺlioni za pesa zinahamishwa kutoka kwa Wananchi kwenda serikalini kupitia tozo, kodi. Mfumuko wa bei unapunguza zaidi kipato halisi (purchasing power)cha Watanzania wengi.

Mazingira ya kibiashara yanazidi kuwa magumu, huoni Uongozi ukihangaika kupunguza makali ya maisha. Gharama za ujenzi, kilimo juu.


SSH anahangaika na vitu visivyo na tija kumnanga JPM, badala ya kutumia akili, muda na nguvu zake zote kutatua changamoto za Watanzania.

Kazi ya serikali ni nini? Ipo kwa ajiri ya maslahi ya nani? Kuichamba awamu na Rais aliyemrithi?
 
Kumbuka Wasukuma ni hazina ya kura. Wasukuma na ndugu zao Wanyamwezi wana wapiga kura millioni sita. Ukiongeza ndugu zao wa kanda ya ziwa kuna zaidi ya wapiga kura milliomi 10. Kwa hasira CHADEMA ikivuna hawa, hata kama haitapata uraisi, inaweza kutikisa bunge! Tatizo hapa lipo kwenye matusi ya rejareja ya watu wa CHADEMA ambayo watawakimbiza wapiga kura kuliko kuwavutia.
 
Reactions: nao
Sina uhakika na ukisemacho
 
Ktk utawala wa jpm kuna siku amewahi kuzomewa?,wewe unayemwita jpm ni sheteni,hebu njoo hapa kariakoo usimame utamke hayo maneno kama utabaki salama,
Mkuu kweli unampenda magu ila mbona liko wazi Magu nikiongozi bora tena sana licha ya madhaifu yake kupotea kwa watu, kuzuka kwa watu wasiojikana, unyanganyi kwa matajiri na kuwachukia wapinzani ila km angekuwa hana hayo ni kiongozi bora mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…