Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kwani sensa ya kanda ya ziwa inasemaje? Au tatizo ni ukanda?
Sensa ya mwaka huu kanda ya ziwa itakua na watu wachache sana na watakaojiandikisha kupiga kura ni robo ya nusu wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sensa ya kanda ya ziwa inasemaje? Au tatizo ni ukanda?
Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.
Ndio unatakiwa utambue kuwa kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi ya kuweka dola.Who cares?
Alikuwa hajakua badoNadhani kinachokusumbua ni ujinga wa kukaririshwa upumbavu. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa walipoikataa CCM ulikuwa na akili timamu?
Kama Jpm alikua anakubalika na Watanzania asingeharibu uchaguzi 2020.Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.
Eti majizi ya msoga line😅😅Falsafa ya huyo dhalimu ilikuwa kuteka na kushinda kwa kupita bila kupangwa. Uzuri hata majizi ya msoga line wanajua kura halali zilikuwa ni kiasi gani, na huyo dhalimu hakupata kura zozote za maana huko kanda ya ziwa mnakotishia nako wanaume.
Ndio unatakiwa utambue kuwa kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi ya kuweka dola.
Wingi wa watu na wajinga wengiNani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?
Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.
Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.
Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Hapa umeongea [emoji106]Falsafa ya uonevu, uuaji, upendeleo wa kanda ya ziwa ndo watanzania wataunga mkono? Labda wasukuma tu ila watanzania tumekataa falsafa zozote zile za uonevu hatuzitaki kabisa,,
Ujinga tu, mbona 2020 alipita kwa kulazimisha na wizi wa kura? yule alikua mkabila, mbaguzi mkubwa na alikua anaenda kusambalatisha nchi kabisa. walau sasa tunapumua maana wengine tulionekana kana kwamba hatuna haki wala siyo watanzania. Mama ana nyooosha kwelikweli!Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?
Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.
Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.
Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Kwa hiyo mtafanyaje nyie wakabila wakubwa? Mtaunda chama chenu cha kikabila muweke Rais?Ndio unatakiwa utambue kuwa kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi ya kuweka dola.
Kazi tuJpm ana falsafa gani mwamba...shaghala baghala!!!?
Falsafa ya uonevu, uuaji, upendeleo wa kanda ya ziwa ndo watanzania wataunga mkono? Labda wasukuma tu ila watanzania tumekataa falsafa zozote zile za uonevu hatuzitaki kabisa,,
Falsafa ya huyo dhalimu ilikuwa kuteka na kushinda kwa kupita bila kupangwa. Uzuri hata majizi ya msoga line wanajua kura halali zilikuwa ni kiasi gani, na huyo dhalimu hakupata kura zozote za maana huko kanda ya ziwa mnakotishia nako wanaume.
Mkuu baada ya kinana kupewa nafasi now anaongea lolote na hata kuwakera akijua tayari safu ya ushindi wa mtake msitake ipo tayari.Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.