Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

NEC
MSAJIRI Wa Vyama
COURT
POLICE
PCCB
JW
DPP

Hao Ndiyo Defence Ya Serikali
 
Leo asubuhi Kuna boda boda ameniuliza eti hivi tutachagua Rais mwingine lini.

Nyinyi waTanganyika hamna shukrani , ni mpaka mtapotuachia nchi yetu , mama akarudi Zenj , Mtamkumbuka sana mama Na itakuwa ni majuto ya mjukuu
 
Msukuma wewe SAMIA hana mpinzani Tanzania hata Nyerere Afu file Leo hamuwezi SAMIA. Endeleza povu
 
CCM , 2025 ndo mwisho, may be uchaguzi usifanyike, ukifanyika tutafia vituon , ya zambia yanakuja 2025, Iyo sijui piga kura nenda nyumbani hakuna, 2023 lazima pamoja na Mambo mengine kuanza utoaji elim hasa KWa vijana KILA mahali Tz nzima na kua na mkakati wa pamoja namna ya kulinda kura.

Hii ni sehem ambayo tumekua hatujiandai nayo, inakuja kutolewa wakati wa campeni tu.
So 2023, lazima kuwa na mtandao wa ulindaji wa kura anzia kitongoji mpaka mkoa, mpaka taifa, na lazima kuunda kikosi kazi KWa ajili ya kuratibu elim hii na mtandao mzima kabla ya uchaguzi
Inawezekana kura yangu moja inayoibiwa ndo inafanya maisha yangu ,na mwingine kuwa magumu Sasa KWa nini nisilinde kura yangu?
Imetosha sasa
Unaongea tu kwa 7bu una uhuru wa kuongea

Ila sahau hiyo stori

Si hata 2015 mlisema?

Hata 2020 mkasema tena!

huu uzi ubaki hivi hivi
 
Wa kutoa SAMIA bado hajazaliwa nasema hajawahi kuzaliwa na hajazaliwa bado
 
Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
aendee na mitozo tozo yake...anashangiliwa kinafiki kwa sababu yupo madarakani
 
Back
Top Bottom