Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Kasome katiba ndio utakuwa kachaguliwa na Nani, kwani wakati anapiga kampenii hukumuona, au kwenye karatasi ya kura ulikwendaga ukamkosaaa, inshort amechaguliwa nasi na tutamchagua Tena uchaguzi ujao
 
Pamoja na mambo mengi ya kijamii ambayo hayajakaa sawa nitampigia kura huyu mama nadhani Kuna watu wanamhujumu.

Lakini ni Bora huyu kuliko kupata watu aina ya jiwe tuanze kuuwana na kuishi Kwa hofu
Huyu mama anahujumiwa, angalao ana hofu ya Mungu, ule ukatili wa awamu iliyopita umetoweka, angalao hofu ya wasiojulikana imetoweka.
 
Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.

Shida sio serikali wala.mama shida ni wewe, sjui unategemea serikali ifanyaje kazi ili ujue inafanya kazi, .swala la uchumi ni la mtu binafsi na halihusiani na serkali, cha muhimu amani, na usalama
 
Ona huyu. Hii ndio shida ya kukaa kwa Shemeji kula kulala.
 
Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
Kuna mawili kurudi kisiwani au kwenda oman kwa wajomba zake
 
Kura hazipigwi leo. 2025 ndo zitapigwa.
 
Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.

Kura za kuchagua ukaoge siyo…?
 
Pamoja na mambo mengi ya kijamii ambayo hayajakaa sawa nitampigia kura huyu mama nadhani Kuna watu wanamhujumu.

Lakini ni Bora huyu kuliko kupata watu aina ya jiwe tuanze kuuwana na kuishi Kwa hofu
Eti; kwa mfano Philip Mpango na Kassim Majaliwa...majambazi kabisa wale
 
Kura ya CCM ni TISS na Polisi, sanduku la kura hawana habari nalo kabisa.
Kama hivyo ndivyo ilivyo, Unadhani vyombo hivyo vitakuwa makuwadi wa CCM Hadi lini?

Tukiendekeza Hilo, sanduku la kura haliheshimiwi, IPO siku nao watatamani mamlaka myapatayo kupitia mgongo wao, ndo hapo tutafanana na majirani.

UOVU Hauna mwisho mzuri. Tupambanie KATIBA mpya.

Ameeeeen.
 
pole ila ujue matatizo mengi ya maisha yanatokana na maamuzi yetu wenyewe, Uzembe na mda mwingine ndo naweza kusema africa ni africa tu
Wewe akili za kukaa kwa Shemeji hizi.
 
Back
Top Bottom