Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
Endapo Mwenyekiti wa tume utakuwa wewe au mimi ,hilo linawezekana .
 
Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.

Magu hata kura hazijapigwa😂😂 ni mara kumi ya Mama huyu
 
Mafuta yaliporomoka ktk soko la dunia. Kwa unavyofikiri wewe bei ilivyooanda ktk soko huyo JPM angeweza kushusha? Sisi siyo producers. Mafuta duniani kote bei juu isipokuwa ktk nchi wazalishaji
Mimi nimejibu ulivyosema lini mafuta yalikua 1500, ndio nikakumbusha na kukuwekea ushahidi. Kama ulikua unayajua hayo basi hukupaswa kukataa kuwa mafuta yaliwahi kuwa 1500.

Mengine kaa nayo.

#kazi inaendelea# tupo na mama samia#
T SSH 2025
 
Ule msemo ni kwa sababu ya kuwabana walio kuwa wanafuja mali za umma. Lakini watu walikuwa wabunifu kuanzisha biashara na wengi walibuni mbinu mbali mbali na uhuru wa kufanya hivyo ulikuwa mwingi. Kwa sasa bila pesa ndefu huwezi anzisha biashara. Maana lazima uwe na pesa ya pango. Pesa ziko na wachache.
So tuombe Mungu jamaa arudi japo ni kwa njia nyingine?.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hakika huyu bibi ni sifuri tupu.
Wala hatotokea kiongozi yeyote kutoka CCM ambaye atamfikia kwa jitihada yake. Nchi yote imeozar kwa mwanamke kuiongozar namna anavyokwenda ni wa kupigiwa att mfano. Mpaka Sasa hajatoa roho ya mtu
 
Kwa hali ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
Aisee ni Kama umechafukwa sasa
 
Taifa limepigwa ganzi, Lakini stealing anadai yu akesha akileta maendeleo 😂😂🙄😳
 
Hakika. Tunataka kuendelea kusonga mbele.
Tatizo wameshika mpini tayari so kutokea mtu as yule inaweza kuwa ngumu kidogo sababu wanaweka watoto wao, labda huyo mtoto afanye maamuzi magumu ya kuwageuka.

Otherwise inaweza kuwa njia ndefu.
 
Mafuta yaliporomoka ktk soko la dunia. Kwa unavyofikiri wewe bei ilivyooanda ktk soko huyo JPM angeweza kushusha? Sisi siyo producers. Mafuta duniani kote bei juu isipokuwa ktk nchi wazalishaji
Hivi unajua zanzibar mafuta ni bei cheee 2800 inacheza hadi 2900 hawa ni producer?

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kuota ndoto sisi tunachapa Kazi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220805-191336.png
    Screenshot_20220805-191336.png
    38.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220805-191118.png
    Screenshot_20220805-191118.png
    139.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220805-191101.png
    Screenshot_20220805-191101.png
    229.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220805-190840.png
    Screenshot_20220805-190840.png
    152.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220805-093409.png
    Screenshot_20220805-093409.png
    279.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220805-124846.png
    Screenshot_20220805-124846.png
    49.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220804-215044.png
    Screenshot_20220804-215044.png
    123.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220804-204352.png
    Screenshot_20220804-204352.png
    115.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220804-204055.png
    Screenshot_20220804-204055.png
    190 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220804-140428.png
    Screenshot_20220804-140428.png
    242.8 KB · Views: 2
Leo asubuhi Kuna boda boda ameniuliza eti hivi tutachagua Rais mwingine lini.
 
Hataaa asipopigaa kampenii nakuhakikishia kuwaa Rais wetu Mama Samia suluhu Hasan atapitaa kwa kishindo kikubwa sanaaaaaaaaaaaa na, maaana Rais anajitahidi Sana kushugulika na kero za wananchi, pamoja na mtikisiko wa kiuchumi na mfumuko wa Bei unaoikumba Dunia kwa Sasa lakini Rais wetu ameendelea kupambana Sana ikiwepo kuweka ruzuku katika baadhi ya sekta Kama alivyo fanya kwenye mafuta na mbolea, yote haya anayafanya ili kupunguza makali ya maisha kwa mtanzania, kwa hiyo usitake kudanganya na kujidanganya kwa ndoto unazoote hapo ulipo, Asante mama Samia, Nakuomba mh Rais aendelee kusonga mbelee kuwatumikia watanzania bila kukatishwa tamaa na watu wachachee wenye chuki zao binafsi na waliojitia upofu katikati ya juhudi kubwa unazozifanya, Alipo mama na vijanàa tupo, Jambo la mama Ni Jambo letu
 
ni heri kulelewa na BABA WA KAMBO, kuliko kulelewa na MAMA WA KAMBO. ndicho kinatugharimu sisi, yaani mimi sijawahi kumuelewa wala sitarajii kumuelewa. Maisha yalivyo huku nje sihitaji hata kuiona sura yake huyo mama. Mafuta ya petrol dissel na kerosine hata akipunguza lita ikauzwa 1500 mwaka 2025 sitataka kuona sura yake kwa karatasi ya kupigia kura, nina hasira hadi nahisi kura yangu itaharibika kwa kutoboa toboa sura yake katika karatasi ya kupigia kura😎😎
 
Kama unahasiraa Basi weka sura yako ndio ionekane kwenye karatas ya kura, lakini tambua kuwa mama Samia ndio chaguo la watanzania uchaguzi ujao hata Kama wewe hutampa Kira bado atashinda kwa kishindooo tuuuuuuuuuu
 
Nan kamchagua?
 
Back
Top Bottom