SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
Acha akili za konokono. Tuonyeshe aliyoyafanya Vizuri zaidi. Nitajie jambo moja la kusisimua.Tanzania tunahitaji katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi ili tupate Rais na wabunge makini.
Rais Samia anafanya vizuri sana ukilinganisha na mtangulizi wake.
Kwasasa ambadilishe Waziri wa Fedha,ili atutoe hapa tulipo kwama,mambo yaende