The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sasa endelea kukaa sebuleni kusubiria Uchumi collective uache kuchangamkia fursa πππ¬π¬.Uchumi huo sio collective, ni wa kikundi cha walamba asali wachache
Data za kupika hizoSasa endelea kukaa sebuleni kusubiria Uchumi collective uache kuchangamkia fursa πππ¬π¬.
Hali iko hivi
Pia nayaongelea hayo hayo maisha. Umeamua kuwa hasi mimi nimeamua kuwa chanya, hiyo ndio tofauti ya mimi na wewe.Mimi naongea maisha, wewe kaa na ubinafsi wako.
Wakati zinapikwa wenzako wanaendelea kukamatia fursa,wewe subiria ziive.Data za kupika hizo
Sawq chawa wahi buku 7 yakoWakati zinapikwa wenzako wanaendelea kukamatia fursa,wewe subiria ziive.
Fungua hii.Kwa hari ilivyo huku mtaani.
Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.
Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.
CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.
Ni hayo tu.
Sisi Kazi yetu kuwapa rekodi nyie sukuma gang mliokatiwa mrija endeleeni kujifariji hukoπSawq chawa wahi buku 7 yako
Uhuru upi unao utaja hapa?Ule msemo ni kwa sababu ya kuwabana walio kuwa wanafuja mali za umma. Lakini watu walikuwa wabunifu kuanzisha biashara na wengi walibuni mbinu mbali mbali na uhuru wa kufanya hivyo ulikuwa mwingi. Kwa sasa bila pesa ndefu huwezi anzisha biashara. Maana lazima uwe na pesa ya pango. Pesa ziko na wachache.
CCM haijawahi tegemea Kura kwenye kuiongoza Nchi hii...Kwa hari ilivyo huku mtaani.
Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.
Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.
CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.
Ni hayo tu.
Miradi aliyoacha JPM haitekelezeki pasipo kuwepo tozo. SGR peke yake ni trilioni 16 hujaongelea miradi mingine mikubwa.
Mi sijakatiwa mrija boya wewe wala sijawahi kuwa kwenye payroll ya CCMSisi Kazi yetu kuwapa rekodi nyie sukuma gang mliokatiwa mrija endeleeni kujifariji hukoπ
Nimeshajua.DECODE hii.
1. Ni Yeye alilazimika kulikata Jina la Mzee mmoja aliyekuwa na uungwaji mkono ndani na nje ya chama enzi hizo.
2. Ni Yeye aliyehusika kumuwekea mezani mjomba Jina la aliyepo kupitia kijana anayekusanya cholo ndani ya daladala.
3. Ni Yeye aliyezuia kupatikana Kwa Kitabu kipya baada ya kutumia pesa nyingi za raia. Kitabu kipya kingefanikiwa ktk utawala wake, Tusingepitia mkwamo tunayopitia.
4. Ni yeye anatuhumiwa kuvifadhili vyama vingi vya upinzani kupitishwa mambo yake. Ni engineer wa siasa zote uzijuazo.
Nani mtu huyo?