Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Uchumi huo sio collective, ni wa kikundi cha walamba asali wachache
Sasa endelea kukaa sebuleni kusubiria Uchumi collective uache kuchangamkia fursa 😆😆😬😬.

Hali iko hivi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220802-123713.png
    Screenshot_20220802-123713.png
    132.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220802-123737.png
    Screenshot_20220802-123737.png
    26.9 KB · Views: 2
Kwa hari ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
Fungua hii.

1. Ni Yeye alilazimika kulikata Jina la Mzee mmoja aliyekuwa na uungwaji mkono ndani na nje ya chama enzi hizo.

2. Ni Yeye aliyehusika kumuwekea mezani mjomba Jina la aliyepo kupitia kijana anayekusanya cholo ndani ya daladala.

3. Ni Yeye aliyezuia kupatikana Kwa Kitabu kipya baada ya kutumia pesa nyingi za raia. Kitabu kipya kingefanikiwa ktk utawala wake, Tusingepitia mkwamo tunayopitia.

4. Ni yeye anatuhumiwa kuvifadhili vyama vingi vya upinzani kupitishwa mambo yake. Ni engineer wa siasa zote uzijuazo.

5. Ktk Uchumi wetu amejipenyeza Kila Mahali ktk biashara na uwekezaji mbalimbali.

Tunapotafuta majibu ya changamoto tunazopitia lazima TUPAMBANE kufuta mifumo aliyoweka iliyojipenyeza Kila Mahali.

Nani mtu huyo?
 
Ule msemo ni kwa sababu ya kuwabana walio kuwa wanafuja mali za umma. Lakini watu walikuwa wabunifu kuanzisha biashara na wengi walibuni mbinu mbali mbali na uhuru wa kufanya hivyo ulikuwa mwingi. Kwa sasa bila pesa ndefu huwezi anzisha biashara. Maana lazima uwe na pesa ya pango. Pesa ziko na wachache.
Uhuru upi unao utaja hapa?
Biashara zimekufa kuanzia kubwa hadi Dogo. Mitaji ya watu Imekatika kwa kila sector.

Huo wakati unao utaja wazazi wlishindwa kupereka watoto Shule za Elim bila malipo
Njombe wakatangaziwa watoto waende shuleni bila uniform.

Bado haokutosha mweyekiti wa halmashali moja ,akatoa wito walim wapokee watoto hata kama Daftari zimepungua.
Achane utani hii Khali imeanzia mbali.
 
Kwa hari ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
CCM haijawahi tegemea Kura kwenye kuiongoza Nchi hii...
 
KWa Iyo Kama angekuepo bado tozo zilikua hazikwepeki? Maana kama alikua anakopa bado na nyie mnakopa tena KWa speed ya ajabu huku mkisema nchi imefungua

Lakini ukiachiwa uridhi unaenda tu bila kufanya analysis jinsi GANI ya kudumisha huo uridhi na bila kuleta madhara katika familia ? Maana elieondoka alikua na mtazamo,fikra, mawazo flani jinsi ataendesha mali zake ,ambazo haziwezi kufanana na zako, KWa maana Iyo huwezi kuumiza wananchi kisa eti Miradi aliacha Bwana yule, ni vyema ukaifanya katika maono YAKO mwenyewe bila kuumiza watu, na sio lazima yate kuisha katika kipindi Chako,
Ipo miradi alianzisha baba wa Taifa akaimalizia Mzee Mwinyi, na yake pia mingine alimalizia Mzee Mkapa, naye yake ,akamulizia mzee Kikwete,

Tumefika hapa katika kipindi Cha miaka sita Cha maisha magum KWa fikra kwamba Tz inaweza kuwa Kama S.A ,or Dubei just KWa miaka kumi, umeona wapi?
Miradi aliyoacha JPM haitekelezeki pasipo kuwepo tozo. SGR peke yake ni trilioni 16 hujaongelea miradi mingine mikubwa.
 
DECODE hii.

1. Ni Yeye alilazimika kulikata Jina la Mzee mmoja aliyekuwa na uungwaji mkono ndani na nje ya chama enzi hizo.

2. Ni Yeye aliyehusika kumuwekea mezani mjomba Jina la aliyepo kupitia kijana anayekusanya cholo ndani ya daladala.

3. Ni Yeye aliyezuia kupatikana Kwa Kitabu kipya baada ya kutumia pesa nyingi za raia. Kitabu kipya kingefanikiwa ktk utawala wake, Tusingepitia mkwamo tunayopitia.

4. Ni yeye anatuhumiwa kuvifadhili vyama vingi vya upinzani kupitishwa mambo yake. Ni engineer wa siasa zote uzijuazo.

Nani mtu huyo?
Nimeshajua.

Ila codes za nini hapa JF?. Una fake ID afu bado unatumia codes?

Bado hawezi fanya kitu.
 
Back
Top Bottom