Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
"Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga"
Ualimu hauna maana ndio sababu hakuna mtoto wa waziri ni Mwalimu, bodaboda au nesi muosha vidonda.
Benki Kuu yaani B.O.T na hazina kuna ulaji, ndio maana kumejaa watoto wa vigogo kule.
Unga LTD, Daraja Mbili, Mbagala na Tandika hakuna maana ndio maana kumejaa walalahoi tofauti na Masaki au Oyster Bay.
Ukiona jambo lolote mpaka masikini anaruhusiwa kulifanya au sehemu yoyote mpaka masikini anaruhusiwa kwenda, jua hilo jambo au hapo pahala hapana maana.
Kama hauamini, jaribu kwenda airport ukiwa umevaa kama dereva wa bodaboda na nywele za dread, uone kama Polisi hawajakufukuza kama mbwa.
Alafu vaa hivyo hivyo kisha nenda ukapige kura uone kama utakatazwa.
Sasa Kazi kwako. Kusuka au kunyoa.