Asante sana kwa taarifaunapokuwa masikini automatic akili inakuruka, ......
Nyie watu wa pwani mnafanyaga kazi? Au kazi unazijua wewe?au ndio una jiharishia tu hapaNgoja waje wasiojitambua ,eti No reforms na ujinga mwingine...Mtu uache kufanya kazi upambanie kula la mwingine.
Chochote afanyacho masikini, hata tajiri anaweza, but the vice versa isn't true.Kila kitu na wakati wake, wakati wa kura kila mtu ni wa muhimu, ukiondoa uwezo wake wa fedha.
Ndio hivyo watu wakishakua na viela vya kumiliki magari tayari wanaanza kujiona matajiriMasikini ndio wengi
Huko makanisani ni misikitini kwenyewe wamechakachua, mahubiri na mihadhara wanayotoa ni ya kiharibu zaidi badala ya kuokoaImani na dini zingekua na maana maskini wangepigwa marufuku, mbinguni na peponi kungekua kupo waarabu na wazungu wasingetoboa siri kirahisi tu.
Yes!!Sisuki wala Sinyoi.. navaa wigi!!
Kura ina nguvu sana kuliko hata Bunduki.. Kura ni ishara kwamba Tajiri/kiongozi bila maskini/Mtawaliwa si lolote!!
Shida ni unafiki, uoga wa mabadiliko, kuendekeza njaa, Ukabila, ujinga wa Kuamua na kupuuzia mambo ya msingi baina ya mtu na mtu..
Babu zako hawakuawa na Wajeremani ili uje uwaze hivyo.. ukiona hapatoshi na wew pambania mabadiliko kama wao!!
Endelea kujidanganyaSisuki wala Sinyoi.. navaa wigi!!
Kura ina nguvu sana kuliko hata Bunduki.. Kura ni ishara kwamba Tajiri/kiongozi bila maskini/Mtawaliwa si lolote!!
Shida ni unafiki, uoga wa mabadiliko, kuendekeza njaa, Ukabila, ujinga wa Kuamua na kupuuzia mambo ya msingi baina ya mtu na mtu..
Babu zako hawakuawa na Wajeremani ili uje uwaze hivyo.. ukiona hapatoshi na wew pambania mabadiliko kama wao!!
Ni ulimbukeni wa wabongo tu huoNilienda kusoma Uhandisi ukoo mzima ukashangaa unaenda kusomea mambo gani hayo ambayo hawayajui. Kwasasa nikikutana na watu ambao hawanijuwi historia yangu wanasema nimetoka familia ya kishua mm nawazoom tu😁😁
Rare case ?watu wote waliomaliza f6 2009 kushuka chini?asilimia kubwa tulijua MD,phamarcy,law,eng ,vet, na accounts na 98%tulikuwa watoto wa masikini mavitu mengine hatukuwa na habari nayoA rare case of zero to hero, 2 out of 10.
Mimi nilimaliza form six 2006, combination EGMRare case ?watu wote waliomaliza f6 2009 kushuka chini?asilimia kubwa tulijua MD,phamarcy,law,eng ,vet, na accounts na 98%tulikuwa watoto wa masikini mavitu mengine hatukuwa na habari nayo
Kwahiyo unataka kila mtu awe Mungu,wewe ni shetani unajua hatuwezi kuzaliwa Wote New York,hivi unajua Kuna taasisi zina nguvu kuliko B.O.T,au sababu wanachapisha pesa,lakini hata nao wanahitaji mlinzi"Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga"
Ualimu hauna maana ndio sababu hakuna mtoto wa waziri ni Mwalimu, bodaboda au nesi muosha vidonda.
Benki Kuu yaani B.O.T na hazina kuna ulaji, ndio maana kumejaa watoto wa vigogo kule.
Unga LTD, Daraja Mbili, Mbagala na Tandika hakuna maana ndio maana kumejaa walalahoi tofauti na Masaki au Oyster Bay.
Ukiona jambo lolote mpaka masikini anaruhusiwa kufanya au sehemu mpaka masikini anaruhusiwa kwenda, jua hilo jambo au hapo pahala hapana maana yoyote.
Kazi kwako sasa. Kusuka au kunyoa.
ASANTEJaribu kwenda airport ukiwa umevaa kama dereva wa bodaboda, uone kama Polisi hawajakufukuza.
Alafu vaa hivyo hivyo kisha nenda ukapige kura uone kama utakatazwa.
Hii bonge ya point....kweli kupiga kura hakuna maana bro. Kweli wee ni great thinkerJaribu kwenda airport ukiwa umevaa kama dereva wa bodaboda, uone kama Polisi hawajakufukuza.
Alafu vaa hivyo hivyo kisha nenda ukapige kura uone kama utakatazwa.
Graduate anayeanza kazi Polisi (taasisi inayolinda nchi nzima mpaka BOT) na graduate anayeanza kazi BOT, ni nani anayeanza na mshahara mkubwa??Kwahiyo unataka kila mtu awe Mungu,wewe ni shetani unajua hatuwezi kuzaliwa Wote New York,hivi unajua Kuna taasisi zina nguvu kuliko B.O.T,au sababu wanachapisha pesa,lakini hata nao wanahitaji mlinzi
Hongera ulimaliza kizazi Bora kabisa,mtu aliyemaliza miaka hiyo hata kama hakusoma degree akianza Leo anakuwa one of the best student Kwa course ya chuo atakachosoma .Mimi nilimaliza form six 2006, combination EGM
ThanksHongera ulimaliza kizazi Bora kabisa,mtu aliyemaliza miaka hiyo hata kama hakusoma degree akianza Leo anakuwa one of the best student Kwa course ya chuo atakachosoma .