Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga

Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga

Masikini mkiisha wapigia Kura, wanawakimbia, sasa mtawaona barabarani speed 250 na ulinzi wa kutisha mkiogopwa nyie wapiga kura.
 
Upo sahihi kwa kiasi fulani.

Huwezi kukuta mtoto wa kigogo anasomea ualimu kwasababu ni kazi za walalahoi wasio na mwelekeo.

Watoto wa vigogo utakuta ni madaktari, wahandisi , wanasheria na vitu vinavyofanana na hivyo kwa ajili ya kulinda mali zao.

Halafu unakuta kundi kubwa hili la walimu ndilo linalodharaulika kuanzia na wanasiasa hadi jamii kwa ujumla kwasababu wenyewe wamekaakaa kizembe tu.
Walimu! Walimu ! Walimu! Wamewakosea nini watu wa JF?
 
na majinga mengi yajitokeze kwenye uchaguzi feki wa mwaka huu kwenda kuwahakikishia wanyonyaji ulaji tena
 
"Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga"

Ualimu hauna maana ndio sababu hakuna mtoto wa waziri ni Mwalimu, bodaboda au nesi muosha vidonda.

Benki Kuu yaani B.O.T na hazina kuna ulaji, ndio maana kumejaa watoto wa vigogo kule.

Unga LTD, Daraja Mbili, Mbagala na Tandika hakuna maana ndio maana kumejaa walalahoi tofauti na Masaki au Oyster Bay.

Ukiona jambo lolote mpaka masikini anaruhusiwa kulifanya au sehemu yoyote mpaka masikini anaruhusiwa kwenda, jua hilo jambo au hapo pahala hapana maana.

Kama hauamini, jaribu kwenda airport ukiwa umevaa kama dereva wa bodaboda na nywele za dread, uone kama Polisi hawajakufukuza kama mbwa.

Alafu vaa hivyo hivyo kisha nenda ukapige kura uone kama utakatazwa.

Sasa Kazi kwako. Kusuka au kunyoa.
Kura na Democracy ni SCAM...
Yaani ukifiria sana unaweza kulia...
Yaani Tume yote hata mkichagua nyie makenge, ila iko chini yangu,
Yaani hata ikipitishwa na wale wanaowaita nyie kenge, bado iko chini yangu,
Nawaambia Tume tuwaandikishe hawa Kenge siku 7, yaani 5 za wiki ambazo hawa Kenge watakuwa wanaenda kututafutia kodi, kwahiyo watabaki mama na baba za kenge majumbani ambao toka enzi za Mwalimu tulishashika akili zao, na wake na dada za hawa makenge wako tu wengi mtaani hawana shughuli watajiandikisha sana tu halafu hawa tunawapelekea Zuchu, Daimond na Harmonize tumeshapata kura zao,,,, sasa hizi siku mbili za weekend ambazo Kenge watataka kujiandikisha najua watakuja wachache maana Kenge wengi hawapendagi usumbufu wa kusubirishwa kwenye foleni...
Mimi ndo natafuta mtu anayechapisha karatasi za Kura,
Mimi ndo nasafirisha mabox na hizo karatasi,
Mimi ndo nawalipa wanaolinda kura 😄 😄
Mimi ndo nilimteua atakayetangaza majibu ya Kura..
Na bado kuna Kenge inaamini KURA na DEMEOKRASIA ni uhalisia...
 
Imani na dini zingekua na maana maskini wangepigwa marufuku, mbinguni na peponi kungekua kupo waarabu na wazungu wasingetoboa siri kirahisi tu.
Mungu hana Shida na utajiri wako wala umasikini wako alichokuumbia ni kwa ajili ya kumwabudu yeye tu hivyo vitu ni matokeo ya uwepo wako hapa Duniani na ndio sababu ndani ya Uislam ibada ni kwa wote na hata hiyo hijja ni kwa yule mwenye uwezo kwa hiyo mfano wako hauingii kwenye dini labda dini tofauti na uislam.
 
Back
Top Bottom