Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
Ndio hivyo mkuu wanguUpewe ulinzi haraka sana.
Refer elimu bure ya kata.
Jaribu kwenda airport ukiwa umevaa kama dereva wa bodaboda na nywele za dread, uone kama Polisi hawajakufukuza kama mbwa.Upewe ulinzi haraka sana.
Refer elimu bure ya kata.
I'll never vote for the rest of my life. CCM wapeane tu ulaji wa nchi, mimi niko busy na Mungu wangu na mishe zangu.Ukweli mchungu.....
Wanawaambia vijana wa 2000 wajiajiri baada ya walalahoi kuwasaidia kupata ajira za ubunge kwa kuwapigia kura.Sasa mbaya SANA ndo maana vijana mnasisitizwa mjiajiri😂
Mkuu, Jenga picha unampigia kura mtu, ila baada ya kupata ulaji anakwambia wewe sasa nenda VETA hahahahaaaa wakati yeye haendi VETA ila anaenda bungeni.Sasa mbaya SANA ndo maana vijana mnasisitizwa mjiajiri😂
Wadogo zangu wa 2000 ninawaonea huruma sana. Hawana mitaji, hawana connections.Sasa mbaya SANA ndo maana vijana mnasisitizwa mjiajiri😂
The same applies kwenye kupiga kuraImani na dini zingekua na maana maskini wangepigwa marufuku, mbinguni na peponi kungekua kupo waarabu na wazungu wasingetoboa siri kirahisi tu.
hapa kwenye elimu ya bure (kayumba) watakuja wakupopoe na wakusimange kwa kumuunga mkono mleta uzi juu ya ubora wake.Upewe ulinzi haraka sana.
Refer elimu bure ya kata.
100% 😅😅😅japo nimecheka sana"Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga"
Ualimu hauna maana ndio sababu hakuna mtoto wa waziri ni Mwalimu.
B.O.T na hazina kuna ulaji, ndio maana kumejaa watoto wa vigogo kule.
Mbagala na Tandika hakuna maana ndio maana kumejaa walalahoi tofauti na Masaki au Oyster Bay.
Ukiona jambo lolote mpaka masikini anaruhusiwa kufanya au sehemu mpaka masikini anaruhusiwa kwenda, jua hilo jambo au hapo pahala hapana maana yoyote.
Kazi kwako..
Ndio maana tunasema no reformNgoja waje wasiojitambua ,eti No reforms na ujinga mwingine...Mtu uache kufanya kazi upambanie kula la mwingine.
Vijana wengi wa 2000 hawatapiga kura. Trust me mkuu..Ndio maana tunasema no reform
Form Four wa mwaka 2024 ana tofauti gani na darasa la saba wa mwaka 2004?? No difference at all.Upewe ulinzi haraka sana.
Refer elimu bure ya kata.