Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga

Kura zipi ? Hata ukiwa tajiri unless wewe ndio unayenominate (kama vile wajumbe, au NEC ya CCM) wewe Kura yako haina maana sababu unachagua uliochaguliwa (thus demokrasia iliyopo sasa ni an illusion ya kukwambia kwamba wewe ndio umechagua hence kuleta amani) kwamba hata mambo yakienda ndivyo sivyo kwamba ni wewe ulichagua...

Ila tukija kwenye maana nakuuliza maana ni nini ? Hakuna kitu cha maana kama basic needs za mwanadamu ambazo nyingine ni bure (mfano pumzi / air / oxygen) hio haununui popote ila ni muhimu sana kwa uhai wako...; Perception Mkuu na watu wengi marketing inawafanya wanunue toys na vitu insignigicant kwa kuambiwa kwamba ndio zenyewe...; Anyway to each their own....; Kwa ushauri tu; The best things in life are Free
 
Asante kwa kuchangia mada
 
Ni Hatari na nusu mkuu wangu
 
Nilienda kusoma Uhandisi ukoo mzima ukashangaa unaenda kusomea mambo gani hayo ambayo hawayajui. Kwasasa nikikutana na watu ambao hawanijuwi historia yangu wanasema nimetoka familia ya kishua mm nawazoom tu😁😁
 
Nilienda kusoma Uhandisi ukoo mzima ukashangaa unaenda kusomea mambo gani hayo ambayo hawayajui. Kwasasa nikikutana na watu ambao hawanijuwi historia yangu wanasema nimetoka familia ya kishua mm nawazoom tu😁😁
A rare case of zero to hero, 2 out of 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…