Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga

Ngoja waje wasiojitambua ,eti No reforms na ujinga mwingine...Mtu uache kufanya kazi upambanie kula la mwingine.
Nyie watu wa pwani mnafanyaga kazi? Au kazi unazijua wewe?au ndio una jiharishia tu hapa
 
Kulingana na Sehemu husika penye kura zinapigwa
 
Sisuki wala Sinyoi.. navaa wigi!!
Kura ina nguvu sana kuliko hata Bunduki.. Kura ni ishara kwamba Tajiri/kiongozi bila maskini/Mtawaliwa si lolote!!

Shida ni unafiki, uoga wa mabadiliko, kuendekeza njaa, Ukabila, ujinga wa Kuamua na kupuuzia mambo ya msingi baina ya mtu na mtu..

Babu zako hawakuawa na Wajeremani ili uje uwaze hivyo.. ukiona hapatoshi na wew pambania mabadiliko kama wao!!
 
Imani na dini zingekua na maana maskini wangepigwa marufuku, mbinguni na peponi kungekua kupo waarabu na wazungu wasingetoboa siri kirahisi tu.
Huko makanisani ni misikitini kwenyewe wamechakachua, mahubiri na mihadhara wanayotoa ni ya kiharibu zaidi badala ya kuokoa
 
Yes!!
 
Endelea kujidanganya
 
Nilienda kusoma Uhandisi ukoo mzima ukashangaa unaenda kusomea mambo gani hayo ambayo hawayajui. Kwasasa nikikutana na watu ambao hawanijuwi historia yangu wanasema nimetoka familia ya kishua mm nawazoom tu😁😁
Ni ulimbukeni wa wabongo tu huo
 
Rare case ?watu wote waliomaliza f6 2009 kushuka chini?asilimia kubwa tulijua MD,phamarcy,law,eng ,vet, na accounts na 98%tulikuwa watoto wa masikini mavitu mengine hatukuwa na habari nayo
Mimi nilimaliza form six 2006, combination EGM
 
Kwahiyo unataka kila mtu awe Mungu,wewe ni shetani unajua hatuwezi kuzaliwa Wote New York,hivi unajua Kuna taasisi zina nguvu kuliko B.O.T,au sababu wanachapisha pesa,lakini hata nao wanahitaji mlinzi
 
Kwahiyo unataka kila mtu awe Mungu,wewe ni shetani unajua hatuwezi kuzaliwa Wote New York,hivi unajua Kuna taasisi zina nguvu kuliko B.O.T,au sababu wanachapisha pesa,lakini hata nao wanahitaji mlinzi
Graduate anayeanza kazi Polisi (taasisi inayolinda nchi nzima mpaka BOT) na graduate anayeanza kazi BOT, ni nani anayeanza na mshahara mkubwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…