Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga

"The best argument against democracy is a five-minute conversation with the average voter."
~ Winston Churchill
 
Masikini mkiisha wapigia Kura, wanawakimbia, sasa mtawaona barabarani speed 250 na ulinzi wa kutisha mkiogopwa nyie wapiga kura.
 
Walimu! Walimu ! Walimu! Wamewakosea nini watu wa JF?
 
na majinga mengi yajitokeze kwenye uchaguzi feki wa mwaka huu kwenda kuwahakikishia wanyonyaji ulaji tena
 
Kura na Democracy ni SCAM...
Yaani ukifiria sana unaweza kulia...
Yaani Tume yote hata mkichagua nyie makenge, ila iko chini yangu,
Yaani hata ikipitishwa na wale wanaowaita nyie kenge, bado iko chini yangu,
Nawaambia Tume tuwaandikishe hawa Kenge siku 7, yaani 5 za wiki ambazo hawa Kenge watakuwa wanaenda kututafutia kodi, kwahiyo watabaki mama na baba za kenge majumbani ambao toka enzi za Mwalimu tulishashika akili zao, na wake na dada za hawa makenge wako tu wengi mtaani hawana shughuli watajiandikisha sana tu halafu hawa tunawapelekea Zuchu, Daimond na Harmonize tumeshapata kura zao,,,, sasa hizi siku mbili za weekend ambazo Kenge watataka kujiandikisha najua watakuja wachache maana Kenge wengi hawapendagi usumbufu wa kusubirishwa kwenye foleni...
Mimi ndo natafuta mtu anayechapisha karatasi za Kura,
Mimi ndo nasafirisha mabox na hizo karatasi,
Mimi ndo nawalipa wanaolinda kura πŸ˜„ πŸ˜„
Mimi ndo nilimteua atakayetangaza majibu ya Kura..
Na bado kuna Kenge inaamini KURA na DEMEOKRASIA ni uhalisia...
 
Imani na dini zingekua na maana maskini wangepigwa marufuku, mbinguni na peponi kungekua kupo waarabu na wazungu wasingetoboa siri kirahisi tu.
Mungu hana Shida na utajiri wako wala umasikini wako alichokuumbia ni kwa ajili ya kumwabudu yeye tu hivyo vitu ni matokeo ya uwepo wako hapa Duniani na ndio sababu ndani ya Uislam ibada ni kwa wote na hata hiyo hijja ni kwa yule mwenye uwezo kwa hiyo mfano wako hauingii kwenye dini labda dini tofauti na uislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…