You're not aloneHakuna ktiu hapa naona Mungu wanayemwamini anaenda na mabadiliko ya nyakati anabadilika. I was born in a Catholic family, sijawahi kukana wala kuhama dhehebu ila niliacha kuamini katika dhehebu langu toka nilipoanza kusoma na kujiuliza amswali ambayo hakuna ambaye aliwahi nipa majibu ya kueleweka.
Huyu papa huyu ... nahisi siku za mbele utatokea mpasuka kama wa anglican
Wasabato wao wana ujinga wao wa kusubiri kupanda ndege bure kimiujiza bila passport wala visa wala tikeki 😂😂😂😂 kila watu na ujinga wao bwana wewe.Huwezi kuukuta huu ujinga kwa wasabato.
Dini zimeanza miaka mingi sana ila ajabu kila kinachofanyika sasa hivi tunataka kukihusisha na kuanzishwa kwa dini ambazo zilianza karne hizo.Mimi kkkt, ila Kwa yanayoendelea duniani ninazidi kukazia msimamo wangu kua hizi dini zililetwa Kwa sababu maalumu. wanajua wao. Naamini Mungu yupo....na nitaendelea kuamini hivo ila dini hizi mhh! Swali dogo...kama Mungu ni mmoja, kwanini x aone dini ya y sio sahihi? Kwanini tunalumbana kwamba dini yangu ni Bora kuliko Yako?Israel Leo anaua hovyo wasio na hatia vitani tena makusudi na wanafurahia wazi kufanya hivo....wakristo wanaona sawa, eti Taifa la Mungu😠waislam wanateteana wao Kwa wao, wakristo wanaona haiwahusu. serious???ushetani tunaona ni sawa.😭😭😭.....DINI ZILILETWA KUTUTENGANISHA. watenganishe uwatawale period.
AiseeNinachokijua ni kwamba viumbe vyooote, ikiwemo mashoga, vimeumbwa na Mungu. Na hua anasema anawapenda sana.
Kingine ninachokijua ni kwamba Mungu ni mjuzi na muweza wa vyote, hivyo ukiona anaruhusu jambo fulani kuwepo, basi ujue ana sababu zake za msingi sana zisizochunguzika. Kazi ya Mungu haina makosa.
Nakubaliana na Pope Francis....
Alisema wapi hayo maneno?Mungu anawapenda pia.
HahaaaaWasabato wamekuwa wamchongo
Ukiwauliza wanasema wanaenda na wakati
Kuna msabato wakati naishi Buhongwa
Alikuwa ananidai kodi ya miezi mitatu,laki 180k
Nikajaribu kumpa siku ya sabato asubuhi
Nikajua atavunga,
Alizisundika mfukoni chaaap
Aisee
Kijana uwe makini na mitazamo yako.
Kama anawachukia;Alisema wapi hayo maneno?
Unajaribu kubalansi visivyobalansi.Usitukane Biblia..
Hapo Biblia inahusika vipi?
Kwanza, Siyo kila msomaji wa Biblia ni mkatolliki.
Pili, hata kwenye imani yako huo upuuzi umejaa tele..
View attachment 2816969
View: https://youtu.be/IWOp664vukE
Yaani huwa nawashangaa Saba ndugu zetu nyinyi. Mbona mnapenda kujikweza sana. Kila kitu sabato sabato sabato. Kwani ulisikia FPCT au EAGT wanafanya hayo mambo ya ushoga.Ufafanuzi kidogo, shahidi wa ndoa ni nani??
Mfano sisi tunaohudhuria kanisani wakati ndoa inafungishwa kisha swali linaulizwa kuna mtu ana pingamizi au kuna shahidi wa aina nyingine
Sooner or later, utasikia na kufungisha pia tunaruhusu
Hakika kanisa la Sabato litabaki kuwa msingi mkuu wa imani ya kweli ya Kristo maana hawa wengine sasa[emoji17]
Walianza Anglikana sasa Roma, ngoja tuone walutheri na wengineo itakuwaje
Wengi wanajiunga na kanisa na wanatoka katika makanisa mengine ni ngumu kuacha mazoea yao kwa wakati mmoja lakini baada ya mida wengi huendana na misingi atleast kwenye suala la mavazi, lakini mengineyo ni ngumu kuzuia issue kama kusuka, lakini so far misingi ya kanisa inazingatiwa sanaWasabato ni suala la muda tu,
Karibu makanisa yote ya kisabato sikuhizi wanaruhusu kuchonga nywele na ndevu wakiwemo wachungaji, mabinti wanaongia kanisani wamesuka na kuvaa magauni yanaypwachoresha makalio, mapaja, hips na vifua.
haba na haba hujaza kibaba.
Very true, huwezi sema watu wanaoishi pamoja wanaweza kuwa baba wa ubatizo and the like,Kanisa katoliki kwisha habar yake.
Unacompromise na shetani kwa hoja ya neema?
Subiri muone jeuri ya ibilisi kwa kumkaribisha ndani ya familia!!
Badala ya kukemea ushoga na usagaji, kanisa linaulegezea kwa kuunormalize?
Ni misingi ya kanisa ambayo mzizi mkuu ni biblia na sio kingine ndio maana itadumu daima unless Biblia ishuke nyingineAs long as asili yake ni kwa watu weupe haliwezi kuwa salama, ni suala la muda tu.
Asilimia kubwa ya watu weupe wanakubali ushoga
Tofautisha kati ya kujikweza na kusema ukweli, nimesema kanisa lina misingi mizuri ambayo inatokana moja kwa moja na bibliaYaani huwa nawashangaa Saba ndugu zetu nyinyi. Mbona mnapenda kujikweza sana. Kila kitu sabato sabato sabato. Kwani ulisikia FPCT au EAGT wanafanya hayo mambo ya ushoga.
Kila ajidhaniaye amesimana aangalie asianguke. Katoriki wameimba wimbo wa kanisa takatifu moja la mitume kwa miaka mingi kwa mbwe mbwe nyingi lakini angalia wanapoelekea Sasa hivi.
Huo mpasuko wao siyo mdogo na utawa cost big time. Hapo bado maaskofu wa Africa hasa Kenya, Zimbabwe na Nigeria bado hawajatoa tamko lao kuhusu huo waraka.
Usione hao wa Brazil wameanza hapo moto bado.
Hawa watu hawatambuliki katika dunia ya uislam, hawawezi kuthubutu hata kwenda kuhiji Mecca Uarabuni, watapigwa mawe mpaka wafe.Usitukane Biblia..
Hapo Biblia inahusika vipi?
Kwanza, Siyo kila msomaji wa Biblia ni mkatolliki.
Pili, hata kwenye imani yako huo upuuzi umejaa tele..
View attachment 2816969
View: https://youtu.be/IWOp664vukE
Mbna kuna Gays wasabatoo wengiii mnoo.Huwezi kuukuta huu ujinga kwa wasabato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka zaidi ya huyu pichani.