Sisi mabudha tunasaka tu nirvanaNaitwa Surya mchizi toka shy town.
Leo nimeamka sina kitu, chai nikapiga deshi..
Ila mchana nimekula ugali nyama na mchicha.
By saa 9 mchana nikaangukia mitaa fulani maeneo ya kazi (Mtu kama 9 hivi jumla) tayar mbuzi mzima anatiwa viungo tayar kwa kuchomwa.. nimekula mbuz nimeshiba
Lakin binadamu sijui kulizika kabisa
Nipo najiambia nafsini.. kuenjoy siku ni lazima ukule bia
Napata wap bia sina hela ujue 😅🤣
Nikipata naya bia, kinachofata nitataka nipewe na demu.. 🤗😣
Aisee kuridhika ni mwisho usio fikwa.
"Usikunje kunje sura bure utazeeka, enjoy life is too short"
Huwezi kuandika kwa kujidai hivi halafu utueleze kwamba hapo ulipo haunywi bia!Naitwa Surya mchizi toka shy town.
Leo nimeamka sina kitu, chai nikapiga deshi..
Ila mchana nimekula ugali nyama na mchicha.
By saa 9 mchana nikaangukia mitaa fulani maeneo ya kazi (Mtu kama 9 hivi jumla) tayar mbuzi mzima anatiwa viungo tayar kwa kuchomwa.. nimekula mbuz nimeshiba
Lakin binadamu sijui kulizika kabisa
Nipo najiambia nafsini.. kuenjoy siku ni lazima ukule bia
Napata wap bia sina hela ujue 😅🤣
Nikipata naya bia, kinachofata nitataka nipewe na demu.. 🤗😣
Aisee kuridhika ni mwisho usio fikwa.
"Usikunje kunje sura bure utazeeka, enjoy life is too short"
Average mind, hawajiulizi kabisa..ila nashauri struggle uishi maisha ya kawaida..ila life is meaningless.Binafsi huwa najiuliza, kila binadamu anataka maendeleo, yes maendeleo yaani maisha mazuri, ndinga kali, nyumba nzuri na ya kisasa, mke/mume mwema na mwaminifu,familia nzuri pesa za kutosha na zisizo na makandokando wala mpango wa kuisha next 40 years to come na vingine vyote vizuri kwa mtazamo wako. Sasa je ukivipata vyote hivi then what's next??? Just waiting to die?? So struggle zote hizi ni kusubiri kufa tu? Mimi naona ni kama life has got no meaning. Imagine you have everything, then what?
--------------sorry nje ya mada----------------
Unaona bora ukaishi marsBinafsi huwa najiuliza, kila binadamu anataka maendeleo, yes maendeleo yaani maisha mazuri, ndinga kali, nyumba nzuri na ya kisasa, mke/mume mwema na mwaminifu,familia nzuri pesa za kutosha na zisizo na makandokando wala mpango wa kuisha next 40 years to come na vingine vyote vizuri kwa mtazamo wako. Sasa je ukivipata vyote hivi then what's next??? Just waiting to die?? So struggle zote hizi ni kusubiri kufa tu? Mimi naona ni kama life has got no meaning. Imagine you have everything, then what?
--------------sorry nje ya mada----------------
Ukifika Mars utatamani uende Jupiter na mwisho wa siku utarudi hapa hapa uje ufe . Yaani unazaliwa ili ufe. Ndiyo maana mimi mambo ya kujiandalia maisha ya baada ya kufa sitaki kwani hata kuzaliwa sikujiandalia chochote ila nimetoboa so hata huko siandai chochote na naamini ntatoboa tu.Unaona bora ukaishi mars
Kabisa mkuu, tatizo ni kuwa tulikuja bila manual ya nini tumekuja kufanya ili ujue umefanikiwa kufanya hicho ulichoijia au umeshindwa, wajanja wachache wameamua kujitengenezea manual zao lakini bado hazielezi kuwa tumekuja kufanya nini?? Majibu yao sasa eti tumekuja kumtumikia Mungu, kumtumikia wakati anaweza kufanya chochote na wew mtumikiaji hujui utumikieje kwani hujui kazi yako, matokeo yake unabaki kufanya maisha yako then unakufa.Average mind, hawajiulizi kabisa..ila nashauri struggle uishi maisha ya kawaida..ila life is meaningless.
[emoji1783][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]aisee Kula gwara mkuu[emoji109]Ukifika Mars utatamani uende Jupiter na mwisho wa siku utarudi hapa hapa uje ufe . Yaani unazaliwa ili ufe. Ndiyo maana mimi mambo ya kujiandalia maisha ya baada ya kufa sitaki kwani hata kuzaliwa sikujiandalia chochote ila nimetoboa so hata huko siandai chochote na naamini ntatoboa tu.
Kumtumikia Mungu ni lugha ya kisiana.Kabisa mkuu, tatizo ni kuwa tulikuja bila manual ya nini tumekuja kufanya ili ujue umefanikiwa kufanya hicho ulichoijia au umeshindwa, wajanja wachache wameamua kujitengenezea manual zao lakini bado hazielezi kuwa tumekuja kufanya nini?? Majibu yao sasa eti tumekuja kumtumikia Mungu, kumtumikia wakati anaweza kufanya chochote na wew mtumikiaji hujui utumikieje kwani hujui kazi yako, matokeo yake unabaki kufanya maisha yako then unakufa.
I catch your feelings man.Binafsi huwa najiuliza, kila binadamu anataka maendeleo, yes maendeleo yaani maisha mazuri, ndinga kali, nyumba nzuri na ya kisasa, mke/mume mwema na mwaminifu,familia nzuri pesa za kutosha na zisizo na makandokando wala mpango wa kuisha next 40 years to come na vingine vyote vizuri kwa mtazamo wako. Sasa je ukivipata vyote hivi then what's next??? Just waiting to die?? So struggle zote hizi ni kusubiri kufa tu? Mimi naona ni kama life has got no meaning. Imagine you have everything, then what?
--------------sorry nje ya mada----------------
Asante sana kwa kuelewa japo mimi siyo mzuri sana kwenye kueleza nachowaza, wengine huwa wanaishia kusema Mungu anakusudi juu yako, ukiuliza lipi hapo mtiti unaanza na kuambiwa huna imani.I catch your feelings man.
Umewaza mbari sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumtumikia Mungu ni lugha ya kisiana.
Yaani unavyoishi wewe: kula, kulala, kuamka nk nk ndiyo kumtumikia Mungu huko.
Kuna kitu huelewi, mimi naomba nikueleweshe.Asante sana kwa kuelewa japo mimi siyo mzuri sana kwenye kueleza nachowaza, wengine huwa wanaishia kusema Mungu anakusudi juu yako, ukiuliza lipi hapo mtiti unaanza na kuambiwa huna imani.
Karibu mkuuKuna kitu huelewi, mimi naomba nikueleweshe.
Hata inbox inaweza kuwa poa zaidi, ila kama siyo nje na mada hii basi hata hapa hapa kwa faida ya wengiKuna kitu huelewi, mimi naomba nikueleweshe.
Mungu yeye anasema ni kama mtoto ambaye anayebumba udongo. Na kutengeneza kitu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee natamani kwenda mbali sana na kuuliza maswali magumu sema tu hili jambo linahusu imani za watu na uzi huu siyo wa swala hili, basi tunaishia hapa tusihamishe mjadala.