Kuridhika ni mwisho usio fikwa

Kuridhika ni mwisho usio fikwa

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Naitwa Surya mchizi toka shy town.
Leo nimeamka sina kitu, chai nikapiga deshi..
Ila mchana nimekula ugali nyama na mchicha.
By saa 9 mchana nikaangukia mitaa fulani maeneo ya kazi (Mtu kama 9 hivi jumla) tayar mbuzi mzima anatiwa viungo tayar kwa kuchomwa.. nimekula mbuz nimeshiba
Lakin binadamu sijui kulizika kabisa
Nipo najiambia nafsini.. kuenjoy siku ni lazima ukule bia
Napata wap bia sina hela ujue 😅🤣

Nikipata naya bia, kinachofata nitataka nipewe na demu.. 🤗😣

Aisee kuridhika ni mwisho usio fikwa.

"Usikunje kunje sura bure utazeeka, enjoy life is too short"
 
Sisi mabudha tunasaka tu nirvana
 
Huwezi kuandika kwa kujidai hivi halafu utueleze kwamba hapo ulipo haunywi bia!
 
Binafsi huwa najiuliza, kila binadamu anataka maendeleo, yes maendeleo yaani maisha mazuri, ndinga kali, nyumba nzuri na ya kisasa, mke/mume mwema na mwaminifu,familia nzuri pesa za kutosha na zisizo na makandokando wala mpango wa kuisha next 40 years to come na vingine vyote vizuri kwa mtazamo wako. Sasa je ukivipata vyote hivi then what's next??? Just waiting to die?? So struggle zote hizi ni kusubiri kufa tu? Mimi naona ni kama life has got no meaning. Imagine you have everything, then what?
--------------sorry nje ya mada----------------
 
Average mind, hawajiulizi kabisa..ila nashauri struggle uishi maisha ya kawaida..ila life is meaningless.
 
Unaona bora ukaishi mars
 
Unaona bora ukaishi mars
Ukifika Mars utatamani uende Jupiter na mwisho wa siku utarudi hapa hapa uje ufe . Yaani unazaliwa ili ufe. Ndiyo maana mimi mambo ya kujiandalia maisha ya baada ya kufa sitaki kwani hata kuzaliwa sikujiandalia chochote ila nimetoboa so hata huko siandai chochote na naamini ntatoboa tu.
 
Average mind, hawajiulizi kabisa..ila nashauri struggle uishi maisha ya kawaida..ila life is meaningless.
Kabisa mkuu, tatizo ni kuwa tulikuja bila manual ya nini tumekuja kufanya ili ujue umefanikiwa kufanya hicho ulichoijia au umeshindwa, wajanja wachache wameamua kujitengenezea manual zao lakini bado hazielezi kuwa tumekuja kufanya nini?? Majibu yao sasa eti tumekuja kumtumikia Mungu, kumtumikia wakati anaweza kufanya chochote na wew mtumikiaji hujui utumikieje kwani hujui kazi yako, matokeo yake unabaki kufanya maisha yako then unakufa.
 
Ukifika Mars utatamani uende Jupiter na mwisho wa siku utarudi hapa hapa uje ufe . Yaani unazaliwa ili ufe. Ndiyo maana mimi mambo ya kujiandalia maisha ya baada ya kufa sitaki kwani hata kuzaliwa sikujiandalia chochote ila nimetoboa so hata huko siandai chochote na naamini ntatoboa tu.
[emoji1783][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]aisee Kula gwara mkuu[emoji109]
 
Kabisa mkuu, tatizo ni kuwa tulikuja bila manual ya nini tumekuja kufanya ili ujue umefanikiwa kufanya hicho ulichoijia au umeshindwa, wajanja wachache wameamua kujitengenezea manual zao lakini bado hazielezi kuwa tumekuja kufanya nini?? Majibu yao sasa eti tumekuja kumtumikia Mungu, kumtumikia wakati anaweza kufanya chochote na wew mtumikiaji hujui utumikieje kwani hujui kazi yako, matokeo yake unabaki kufanya maisha yako then unakufa.
Kumtumikia Mungu ni lugha ya kisiana.
Yaani unavyoishi wewe: kula, kulala, kuamka nk nk ndiyo kumtumikia Mungu huko.
 
Binafsi huwa najiuliza, kila binadamu anataka maendeleo, yes maendeleo yaani maisha mazuri, ndinga kali, nyumba nzuri na ya kisasa, mke/mume mwema na mwaminifu,familia nzuri pesa za kutosha na zisizo na makandokando wala mpango wa kuisha next 40 years to come na vingine vyote vizuri kwa mtazamo wako. Sasa je ukivipata vyote hivi then what's next??? Just waiting to die?? So struggle zote hizi ni kusubiri kufa tu? Mimi naona ni kama life has got no meaning. Imagine you have everything, then what?
--------------sorry nje ya mada----------------
I catch your feelings man.
Umewaza mbali sana.
 
I catch your feelings man.
Umewaza mbari sana.
Asante sana kwa kuelewa japo mimi siyo mzuri sana kwenye kueleza nachowaza, wengine huwa wanaishia kusema Mungu anakusudi juu yako, ukiuliza lipi hapo mtiti unaanza na kuambiwa huna imani.
 
Kumtumikia Mungu ni lugha ya kisiana.
Yaani unavyoishi wewe: kula, kulala, kuamka nk nk ndiyo kumtumikia Mungu huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee natamani kwenda mbali sana na kuuliza maswali magumu sema tu hili jambo linahusu imani za watu na uzi huu siyo wa swala hili, basi tunaishia hapa tusihamishe mjadala.
 
Asante sana kwa kuelewa japo mimi siyo mzuri sana kwenye kueleza nachowaza, wengine huwa wanaishia kusema Mungu anakusudi juu yako, ukiuliza lipi hapo mtiti unaanza na kuambiwa huna imani.
Kuna kitu huelewi, mimi naomba nikueleweshe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee natamani kwenda mbali sana na kuuliza maswali magumu sema tu hili jambo linahusu imani za watu na uzi huu siyo wa swala hili, basi tunaishia hapa tusihamishe mjadala.
Mungu yeye anasema ni kama mtoto ambaye anayebumba udongo. Na kutengeneza kitu.

Je hicho kitu alichokitengeneza Yeye ni haki kimuulize..
Kwa nini hukuniumba hivi ama vile ? Mfano nisiwe na tumbo.
Anatuuliza, Je mfinyanzi hana mamlaka juu ya kilae alichokitengeneza kwa udongo wake ? Kama apendavyo ?
 
Back
Top Bottom