Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Naitwa Surya mchizi toka shy town.
Leo nimeamka sina kitu, chai nikapiga deshi..
Ila mchana nimekula ugali nyama na mchicha.
By saa 9 mchana nikaangukia mitaa fulani maeneo ya kazi (Mtu kama 9 hivi jumla) tayar mbuzi mzima anatiwa viungo tayar kwa kuchomwa.. nimekula mbuz nimeshiba
Lakin binadamu sijui kulizika kabisa
Nipo najiambia nafsini.. kuenjoy siku ni lazima ukule bia
Napata wap bia sina hela ujue 😅🤣
Nikipata naya bia, kinachofata nitataka nipewe na demu.. 🤗😣
Aisee kuridhika ni mwisho usio fikwa.
"Usikunje kunje sura bure utazeeka, enjoy life is too short"