Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Haya mabasi/daladala za UDA yalianza onekana kwa wingi sana kipindi cha uongozi wa Awamu ya 4 ila baada ya kuingia awamu ya 5 hizi daladala zilipotea zote moja baada ya nyingine na mwisho hatukuziona tena barabarani.
Tangu msiba uishe wa Aliyekua Rais awamu ya 5 Rais.Magufuli UDA zimeanza kurudi barabarani nimeshashuhudia UDA 3 mpya ruti ya MBEZI - MBAGALA/3, MBEZI-BUGURUNI,MBEZI-TEMEKE,nk
swali langu ni la mshangao,imekuaje tena haya magari kurudi wakati huuu? yalikua wapi? boss wake ni nani? kwanini alikua hayarudishi barabarani kipindi cha uhai wa magufuli na kwanini kayarudsha sasa hivi?
"Watanzania sisi sio wajinga,Tunaona"
Nimalizie kwa kusema "Anae stream youtube sasa hivi ni kidume", Ukimuona mtu yuko Online Muheshimu,Ma group yangu sioni cha admin wala member anatuma tuma vi meme leo ni kimyaaaaaa,WAZIRI WA NCHI MWANACHAMA WA DATA amejua kututembelea huu mwaka,halafu ndio kwanza April 2..
Kwani wewe unapata hasara ama faida gani yakifanya au yasipofanya kazi!?
Mengi ya mambo ambayo wananchi wanaona ni ya kifisadi wala hata hamna kikubwa kinachoweza kufanywa kikabadili sana maisha yao!
Hata hizo barabara n.k kuna janja nyingi ndani yake...