Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Tulia mtibeli
Wewe unaweza kumruhusu Mzee amuoe binti yako?
Tulia mtibeli
Kwani wewe ndio unaolewa au yeye
We ulisikia wapi mwanamke ana Guarantee, Mwanamke ni Kiumbe kisichotabilika.... Mzee kakubarika mweche achanue Vuuuuzz
Kwani baba ndiyo hutoa ruhusu kwa binti zao waolewe na nani? Nilidhani huu ulikuwa ni utaratibu wa karne iliyopita na siku hizi mabinti huwachagua wenza wao bila kuingiliwa. Hivi mtu kama wewe ikitokea mkapendana na binti wa kihindi au kiarabu au kichina na wazazi wake wakamkataza kumuoa utalalamika?KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu humaanisha kweli. Na hulenga Mambo mengi Sana
Pesa sio ulinzi tuu kwako bali pia ni ulinzi kwa Watoto wako hasa mabinti zako.
Yaani binti yako aolewe na mwanaume rika lako kweli au aliyekuzidi. Hiyo ni ishara ulifeli Kama Baba. Poor Dad. Baba uliyeshindwa kujenga ngome yako.
Nenda Familia zinazojielewa ukajionee! Kwanza huyo kijana mwenyewe ajipange haswa. Awe kijana kweli sembuse Mzee au mbabu?
Kwanza Mzee yeyote Hana uwezo wa kuja kujaribu kufukuzia vibinti vyako ati avioe. Anaanzaje! Hizo ni dharau za rejareja!
Fikiria ati Mzee Fulani ambaye unamsalimiaga shikamoo, ati anakuja kwako anamposa binti yako. Dharau ya kiwango gani hiyo? Sisi wanaume wa kitibeli(Alpha Male) hizo dharau hatutavumilia. Hiyo ni kesi ya kushughulikiwa polisi hiyo. Na hakika Polisi watapata KAZI ya kufanya.
Binti zako wenyewe hawawezi kuwaza ku-date na vizee achilia mbali kuolewa navyo.
Hakuna binti anayependa na kutamani kuolewa na mtu mzima au Mzee.
Ni Umaskini na njaanjaa tuu.
Mabinti duniani ndoto yao kubwa ni kuolewa na vijana ambao ni rika lao. Vijana wenzao. Wasipishane Sana.
Kimsingi mabinti ambao wametoka kwenye familia maskini na zisizo imara hasa Baba aliyefeli hujikuta katika kudhalilishwa kwa kuolewa na vibabu.
Hapa kuna ushauri nitakaowapa kuondoa fedheha hui;
1. Baba lazima upigane Kufa kupona kuijenga Familia yako hasa wanao.
2. Baba na Mama lazima muwafundishe watoto wenu kujitegemea. Iwe wakike au wakiume.
Muwafundishe mabinti jukumu la Maisha Yao ni wap wenyewe. Hivyo mindest ya utegemezi iondoke na wafundishwe KAZI za uzalishaji.
Wanawake wanaolewa na vibabu kikawaida ni wavivu, tegemezi na wenye tamaa.
3. Baba na Mama muwafundishe mabinti zenu Kujiheshimu.
Binti aliyefundishwa kujiheshimu alafu akawa anajiheshimu hawezi ku-date na mwanaume anayelingana na Babaake au aliyemzidi babaake.
Halikadhalika Mwanamke anayejiheshimu hawezi ku-date na Mwanaume mdogo aliyemzidi miaka zaidi ya Saba kuendelea.
4. Mabinti lazima mfanye KAZI mjitegemee. Ili msijidharau na kujifedhehesha.
Unatoka na kibabu? Kwamba umejidharau kiasi hicho!?
Mwanaume yeyote anayeweza kukuzaa kamwe usimvulie Chupi yako. Huko ni kujidharau.
Binti za Tibeli ni binti wa viwango. Wanaojiheshimu na ambao hawatakubali dharau za rejareja kama hizo.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam.
Binti ye ataamua kama yuko tayari ama laWewe unaweza kumruhusu Mzee amuoe binti yako?
Binti ye ataamua kama yuko tayari ama la
basi tutamuoa mama yako kijana....we huna akili kabisa! Kwahiyo mimi mtu mzima wa miaka 40 kuoa binti wa miaka 20 ni kosa?? au ww unadhani utaendelea kuwa na umri wako mdogo huohuo miaka yote?KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu humaanisha kweli. Na hulenga Mambo mengi Sana
Pesa sio ulinzi tuu kwako bali pia ni ulinzi kwa Watoto wako hasa mabinti zako.
Yaani binti yako aolewe na mwanaume rika lako kweli au aliyekuzidi. Hiyo ni ishara ulifeli Kama Baba. Poor Dad. Baba uliyeshindwa kujenga ngome yako.
Nenda Familia zinazojielewa ukajionee! Kwanza huyo kijana mwenyewe ajipange haswa. Awe kijana kweli sembuse Mzee au mbabu?
Kwanza Mzee yeyote Hana uwezo wa kuja kujaribu kufukuzia vibinti vyako ati avioe. Anaanzaje! Hizo ni dharau za rejareja!
Fikiria ati Mzee Fulani ambaye unamsalimiaga shikamoo, ati anakuja kwako anamposa binti yako. Dharau ya kiwango gani hiyo? Sisi wanaume wa kitibeli(Alpha Male) hizo dharau hatutavumilia. Hiyo ni kesi ya kushughulikiwa polisi hiyo. Na hakika Polisi watapata KAZI ya kufanya.
Binti zako wenyewe hawawezi kuwaza ku-date na vizee achilia mbali kuolewa navyo.
Hakuna binti anayependa na kutamani kuolewa na mtu mzima au Mzee.
Ni Umaskini na njaanjaa tuu.
Mabinti duniani ndoto yao kubwa ni kuolewa na vijana ambao ni rika lao. Vijana wenzao. Wasipishane Sana.
Kimsingi mabinti ambao wametoka kwenye familia maskini na zisizo imara hasa Baba aliyefeli hujikuta katika kudhalilishwa kwa kuolewa na vibabu.
Hapa kuna ushauri nitakaowapa kuondoa fedheha hui;
1. Baba lazima upigane Kufa kupona kuijenga Familia yako hasa wanao.
2. Baba na Mama lazima muwafundishe watoto wenu kujitegemea. Iwe wakike au wakiume.
Muwafundishe mabinti jukumu la Maisha Yao ni wap wenyewe. Hivyo mindest ya utegemezi iondoke na wafundishwe KAZI za uzalishaji.
Wanawake wanaolewa na vibabu kikawaida ni wavivu, tegemezi na wenye tamaa.
3. Baba na Mama muwafundishe mabinti zenu Kujiheshimu.
Binti aliyefundishwa kujiheshimu alafu akawa anajiheshimu hawezi ku-date na mwanaume anayelingana na Babaake au aliyemzidi babaake.
Halikadhalika Mwanamke anayejiheshimu hawezi ku-date na Mwanaume mdogo aliyemzidi miaka zaidi ya Saba kuendelea.
4. Mabinti lazima mfanye KAZI mjitegemee. Ili msijidharau na kujifedhehesha.
Unatoka na kibabu? Kwamba umejidharau kiasi hicho!?
Mwanaume yeyote anayeweza kukuzaa kamwe usimvulie Chupi yako. Huko ni kujidharau.
Binti za Tibeli ni binti wa viwango. Wanaojiheshimu na ambao hawatakubali dharau za rejareja kama hizo.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam.
Tumekuelewa kijana...tutamuoa mama yako mkubwa mwenzetuNani anamuda wa kukupangia?
huna akili kabisa.Wewe unaweza kumruhusu Mzee amuoe binti yako?
basi tutamuoa mama yako kijana....we huna akili kabisa! Kwahiyo mimi mtu mzima wa miaka 40 kuoa binti wa miaka 20 ni kosa?? au ww unadhani utaendelea kuwa na umri wako mdogo huohuo miaka yote?
Kwaiyo mimi mwenye miaka 40 nimuoe mama yako mweye miaka sitini,heti???tena ashakoma MP!!
kumbuka mwanaume hazeeki cha msingi uwe na kipato na miji .. huna adabu kabisa! kwahiyo tuoe viajuza sio!!!
huna akili kabisa.
Namna hiyo utakuja kujikuta kwenye bumbuwazi hadi ulazwe endelea na hizi utopian theories zakoUkishakuwa binti yangu kuna mambo huna maamuzi nayo
Tumekuelewa kijana...tutamuoa mama yako mkubwa mwenzetu
Namna hiyo utakuja kujikuta kwenye bumbuwazi hadi ulazwe endelea na hizi utopian theories zako
Aah hapo sawa🙌Tunaishi maisha ambayo kwa wengine hayawezekani. Ndivyo watibeli tulivyo.
umekereka ee? Nakupa tena, NO REFORMS, NO REACTIONKuwa mstaarabu