SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Ni kazi kuishi na mzee ni mbaya sana ila sasa akiwa na mkwanja huna jinsi
Bora mabinti zangu waolewe na hao vibabu kuliko hawa vijana wapumbavu wasiojielewa.Binti anaolewa na kijana mwenzake mimba ya kwanza tu kaachwa katelekezwa na mtoto wake hakuna cha matumizi wala nini.Bora binti yangu aolewe na mbabu
Ni kazi kuishi na mzee ni mbaya sana ila sasa akiwa na mkwanja huna jinsi
Wewe hujiamini na unaitumia JamiiForums kutafuta self approval. Inaonekana una mashaka na chaguzi zako za maisha na hivyo ili kutafuta faraja ni kuiaminisha akili yako kwamba wengine wanakosea ili ujione uko sahihi.
Wakati unajiona mjanja kuoa mwanamke rilka lako wapo wanaokuona bwege lakini hawakwambii kwa sababu mambo yako hayawahusu. Watu walioridhika na maisha hawana muda wa kufuatilia mambo ya wengine ambayo hayawahusu.
Uzi upo makini sana.Bravos!
Uzi upo makini sana.Bravos!Unaruhusu vipi binti yako wa miaka 23 aolewe na mbabuko wa miaka 49? Hideous! Haiwezekani.Hiyo ni "zereu" grade one!
Kababu kalikomuoa binti katamsalimiaje baba mkwe au mama mkwe?Ukijadili kwa namna yoyote ile ni mbaya
Saikolojia
Sosholojia
Mofolojia
Nature
Kote zinakataa
Kababu kalikomuoa binti katamsalimiaje baba mkwe au mama mkwe?
Je,atasalimia..."mambo"?U-hali gani?Shikamoo mdogo wangu?Imekaaje?Niambie!Tikee?Bonjour petit?Au atatumia lugha mama kupooza joto la maamkizi?
Ni majibu ya saikolojia yako. Kisosholojia hakuna katazo la kuoa kwa kuzingatia tofauti kubwa kiumri. Hata hivyo mzazi ana mamlaka gani kama mtoto wake ameamua? Hujaeleza kwa data ni wangapi wanaolewa na wanaume wazee na kama kuna tatizo lolote linaloathiri jamii.Katika hayo uliyoandika upo kundi lipi?
Nazungumzia Saikolojia, sosholojia, na nature.
Wewe unazungumzia Uhuru wako wa kutoa Maoni Jambo ambalo sio kosa.
Huyo kijana hajui ..anataka sisi above 40 tumuoe mwanamke wa age ya bi mkubwa wake.....Kwenye suala la ndoa ili uwiano wa kiuchumi na kibaiolojia uwe na balance baina ya mwanaume na mwanamke basi ni sharti mwanaume amwache mwanamke miaka mingi kidogo. Nafikiri miaka 10-20 sio mbaya.
Huyu kijana utoto unamsumbua kabisa ..yaani mimi mwanaume wa miaka arobaini nikaoe mwanamke wa miaka hamsini au sitini kama mama yake!Jomba kama hutaki binti yako aolewe itabidi uolewe wewe kwa niaba yake maana sasa hakuna namna. Saa nyingine fikiri kabla ya kuandika. Kuna mada zako huwa za kipumbavu sana. Hii umeandika ujinga mtupu.
Siku hz hakuna waandishi wanao tufundisha bali tuna waandishi tunaopaswa kuwafundisha kazi yaoSio KAZI yako msomaji kumfundisha mwandishi chakufanya.
Kazi yako ni kusoma na kuelewa kadiri ya uelewa wako.
Au usisome
Umeeleweka AmbiereKURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu humaanisha kweli. Na hulenga Mambo mengi Sana
Pesa sio ulinzi tuu kwako bali pia ni ulinzi kwa Watoto wako hasa mabinti zako.
Yaani binti yako aolewe na mwanaume rika lako kweli au aliyekuzidi. Hiyo ni ishara ulifeli Kama Baba. Poor Dad. Baba uliyeshindwa kujenga ngome yako.
Nenda Familia zinazojielewa ukajionee! Kwanza huyo kijana mwenyewe ajipange haswa. Awe kijana kweli sembuse Mzee au mbabu?
Kwanza Mzee yeyote Hana uwezo wa kuja kujaribu kufukuzia vibinti vyako ati avioe. Anaanzaje! Hizo ni dharau za rejareja!
Fikiria ati Mzee Fulani ambaye unamsalimiaga shikamoo, ati anakuja kwako anamposa binti yako. Dharau ya kiwango gani hiyo? Sisi wanaume wa kitibeli(Alpha Male) hizo dharau hatutavumilia. Hiyo ni kesi ya kushughulikiwa polisi hiyo. Na hakika Polisi watapata KAZI ya kufanya.
Binti zako wenyewe hawawezi kuwaza ku-date na vizee achilia mbali kuolewa navyo.
Hakuna binti anayependa na kutamani kuolewa na mtu mzima au Mzee.
Ni Umaskini na njaanjaa tuu.
Mabinti duniani ndoto yao kubwa ni kuolewa na vijana ambao ni rika lao. Vijana wenzao. Wasipishane Sana.
Kimsingi mabinti ambao wametoka kwenye familia maskini na zisizo imara hasa Baba aliyefeli hujikuta katika kudhalilishwa kwa kuolewa na vibabu.
Hapa kuna ushauri nitakaowapa kuondoa fedheha hui;
1. Baba lazima upigane Kufa kupona kuijenga Familia yako hasa wanao.
2. Baba na Mama lazima muwafundishe watoto wenu kujitegemea. Iwe wakike au wakiume.
Muwafundishe mabinti jukumu la Maisha Yao ni wap wenyewe. Hivyo mindest ya utegemezi iondoke na wafundishwe KAZI za uzalishaji.
Wanawake wanaolewa na vibabu kikawaida ni wavivu, tegemezi na wenye tamaa.
3. Baba na Mama muwafundishe mabinti zenu Kujiheshimu.
Binti aliyefundishwa kujiheshimu alafu akawa anajiheshimu hawezi ku-date na mwanaume anayelingana na Babaake au aliyemzidi babaake.
Halikadhalika Mwanamke anayejiheshimu hawezi ku-date na Mwanaume mdogo aliyemzidi miaka zaidi ya Saba kuendelea.
4. Mabinti lazima mfanye KAZI mjitegemee. Ili msijidharau na kujifedhehesha.
Unatoka na kibabu? Kwamba umejidharau kiasi hicho!?
Mwanaume yeyote anayeweza kukuzaa kamwe usimvulie Chupi yako. Huko ni kujidharau.
Binti za Tibeli ni binti wa viwango. Wanaojiheshimu na ambao hawatakubali dharau za rejareja kama hizo.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam.
KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA!

Ndugu mtibeli futa kauli yako. Jacqueline Ntiyabaliwe (maarufu kama Jacqueline Mengi ) anatoka familia ya vibopa (matajiri). Lkn aliolewa na mzee Mengi (mtu mzee zaidi ya babake Jacqueline).Kwanza Mzee yeyote Hana uwezo wa kuja kujaribu kufukuzia vibinti vyako ati avioe. Anaanzaje! Hizo ni dharau za rejareja!
Ni kweli kabisa. Ila sijui kama bado huo uhusiano unahusiana.Kuna waziri wa fedha(mwanamke) nchi fulani aliwahi kumpa bosi wake mtoto wake ili amuoe na huyo bosi ni mzee.