Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

We ulisikia wapi mwanamke ana Guarantee, Mwanamke ni Kiumbe kisichotabilika.... Mzee kakubarika mweche achanue Vuuuuzz

😀😀

Hata vijana hawana guarantee kwani baadhi yao wanaolewa na vibibi/mashangazi
 
Kwani baba ndiyo hutoa ruhusu kwa binti zao waolewe na nani? Nilidhani huu ulikuwa ni utaratibu wa karne iliyopita na siku hizi mabinti huwachagua wenza wao bila kuingiliwa. Hivi mtu kama wewe ikitokea mkapendana na binti wa kihindi au kiarabu au kichina na wazazi wake wakamkataza kumuoa utalalamika?
 
basi tutamuoa mama yako kijana....we huna akili kabisa! Kwahiyo mimi mtu mzima wa miaka 40 kuoa binti wa miaka 20 ni kosa?? au ww unadhani utaendelea kuwa na umri wako mdogo huohuo miaka yote?

Kwaiyo mimi mwenye miaka 40 nimuoe mama yako mweye miaka sitini,heti???tena ashakoma MP!!

kumbuka mwanaume hazeeki cha msingi uwe na kipato na miji .. huna adabu kabisa! kwahiyo tuoe viajuza sio!!!
 

Utaoa kwenye hizohizo familia maskini.

Binti anayejitambua na aliyetoka familia imara huwezi mletea hizo kauli zako za kijinga kwamba mwanaume hazeeki.
Hizo kauli zina watu wake na familia zake
 
Kwenye suala la ndoa ili uwiano wa kiuchumi na kibaiolojia uwe na balance baina ya mwanaume na mwanamke basi ni sharti mwanaume amwache mwanamke miaka mingi kidogo. Nafikiri miaka 10-20 sio mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…