Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

Jomba kama hutaki binti yako aolewe itabidi uolewe wewe kwa niaba yake maana sasa hakuna namna. Saa nyingine fikiri kabla ya kuandika. Kuna mada zako huwa za kipumbavu sana. Hii umeandika ujinga mtupu.
 
Hiyo roho mbaya Yako haitakusaidia lolote, Kila mtu ana maamuzi yake katika maisha. Mwanangu nitamuozesha kwa mtu yoyote yule mwenye ufahamu ikiwa tu wamependana wenyewe. Em tuondolee mipasho Yako hapa!
Labda anamuonea wivu binti yake
 
Jomba kama hutaki binti yako aolewe itabidi uolewe wewe kwa niaba yake maana sasa hakuna namna. Saa nyingine fikiri kabla ya kuandika. Kuna mada zako huwa za kipumbavu sana. Hii umeandika ujinga mtupu.

Soma uelewe.
Usitumie upumbavu kusoma Jambo linalogusa maslahi yako
 
Bora mabinti zangu waolewe na hao vibabu kuliko hawa vijana wapumbavu wasiojielewa.Binti anaolewa na kijana mwenzake mimba ya kwanza tu kaachwa katelekezwa na mtoto wake hakuna cha matumizi wala nini.Bora binti yangu aolewe na mbabu
 
Sie matajiri huwa tunapeana watoto tuoe kama zawadi.

Kuna waziri wa fedha(mwanamke) nchi fulani aliwahi kumpa bosi wake mtoto wake ili amuoe na huyo bosi ni mzee.

Huo mtazamo wako ni kwa ajiri ya watibeli tu, lakini matajiri hasa marafiki hupeana watoto ili pesa isiende mbali
 
Hawajifichi kweli. Ila mwandishi bora ana jisemea zaidi na sio kukosoa tu wengine
Twende na
NO REFORMS NO ELECTION

Sio KAZI yako msomaji kumfundisha mwandishi chakufanya.
Kazi yako ni kusoma na kuelewa kadiri ya uelewa wako.
Au usisome
 

Hakuna huyo mwanamke anayetaka kuolewa na wazee. Huyo mwanamke hayupo.

Na Sisi watibeli tunasimama kwenye ndoto ya awali.

Kamwe hatuwezi ruhusu binti zetu waolewe na wazee wala vijana wetu waoe mashangazi au Mabibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…