Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

Ndugu mtibeli futa kauli yako. Jacqueline Ntiyabaliwe (maarufu kama Jacqueline Mengi ) anatoka familia ya vibopa (matajiri). Lkn aliolewa na mzee Mengi (mtu mzee zaidi ya babake Jacqueline).

Hakuna kitu kama hicho
 
Ndugu mtibeli futa kauli yako. Jacqueline Ntiyabaliwe (maarufu kama Jacqueline Mengi ) anatoka familia ya vibopa (matajiri). Lkn aliolewa na mzee Mengi (mtu mzee zaidi ya babake Jacqueline).
Kwahiyo hauoni kuwa alifanya ujinga kwakuwa mpaka sasa anatoka na vijana
 
Unaposema kizee unamaana ukishafikia umri mkubwa unakuwa nyangarakasha lisilo na thamani duniani! Bangi msichanganye na mavi ya kunguru, ona sasa umeharibikiwa wewe uliyejizaa mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…